Za darasani nazo zilishayeyuka maana zingekuwa bado zipo angeweza kugundua hila za huyu mbaya wake mwenye digrii mojaJamaa ana akili za darasani tu
Huyu jamaa almanusura awe rais wa Zanzibar mwaka 2010, kwani kule kwao Zanzibar alikuwa ana nyota kama ya Lowassa. Akaingizwa mkenge na JK, akasema mpishe Shein, njoo huku bara uwe makamu wa rais, cheo ambacho kinadharia ni kikubwa kuliko rais wa Zanzibar japo kiuhalisia haiko hivyo.
Bilal akaona huo ndio mwanzo wa kuwa rais wa Muungano, kilichompata kila mtu anajua. Nafasi za juu zote zimejaa, si Zanzibar wala Muungano. Labda arudi chuo kufundisha, pole Bilal.
Yaani kila mtu anaona kuwa angesimamishwa yeye!! Loh!Hivi watu mlitaka asimamishwe nani? manake kila mtu anamlaumu JK, wakati nafasi ni moja tu!! kila mtu anaita, si balal, lowasa, membe wala pinda
Mnamaana aliyesimamishwa hafai?
bila shaka lengo la JK limeshatimia.Si ameshazeeka astaafu?