Dk. Benson Bana anena kuhusu kauli ya Katibu Mkuu wa CCM: Suala la watu kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni hiari

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
IMG_8929.JPG

Mkuu wa Kitengo cha Political Science, UDSM, Dk. Benson Bana.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dare es Salaam na Mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini, Dk. Benson Bana, amepinga kauli iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally kuwa, kushuka kwa wapiga kura kumetokana na rushwa na kutowajibika; na kudai kuwa, suala la watu kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni hiari. "Nadhani alichokuwa akimaanisha ni watu kujengewa uwezo namna ya kuona umuhimu na thamani ya kushiriki uchaguzi ili kuchagua kiongozi wanayemtaka."

IMG_9009.JPG
 
View attachment 888155

View attachment 888157
Daaah, ccm nawaombeni jamani mkumbukeni huyu mzee mpeni hata ujumbe wa bodi ya mifugo na nyuki
 
View attachment 888155
Mkuu wa Kitengo cha Political Science, UDSM, Dk. Benson Bana.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dare es Salaam na Mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini, Dk. Benson Bana, amepinga kauli iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally kuwa, kushuka kwa wapiga kura kumetokana na rushwa na kutowajibika; na kudai kuwa, suala la watu kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni hiari. "Nadhani alichokuwa akimaanisha ni watu kujengewa uwezo namna ya kuona umuhimu na thamani ya kushiriki uchaguzi ili kuchagua kiongozi wanayemtaka."

View attachment 888157
Ukifuatilia sana kuhusu mtiririko wa kusoma kwa huyu mzee unaweza kufikia hitimisho kuwa huu udaktari wake ni "questionable"!
 
Mpaka kura itakapo pewa thamani na ulinzi wa kumwajibisha kiongoz ila kwa hali ilivo sinampango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi wa aina yoyote
 
Watu kama hao hakuna haja ya kupata nao shida. Wanatafuta kiki za kijinga na ni wajumbe wa shetani... siku zote mjumbe wa shetani hafikirii maisha ya wengine
 
Ukifuatilia sana kuhusu mtiririko wa kusoma kwa huyu mzee unaweza kufikia hitimisho kuwa huu udaktari wake ni "questionable"!
UPE Au....yani upe mwanga Zaidi huu uzi. I mean hii comment yako.
 
Anajiwekea hazina mkuu alishasema teuzi haziishagi na yeye ndio kiranja wa malaika.

Ila wakiendelea kuchelewa kumteua atakua kichaa kichaa...uzuri akifikia hapo ndio anafaa kupewa wizara sasa.
 
Utakwendaje kupiga kura wakati maelekezo tayari yashatolewa hadharani na AMRI ishatolewa? Mimi Natamani hata ikiwezekana kufuta mfumo Wa vyama vingi ili kuondoa HILI JANGA la UBAGUZI! Ambalo naamini Watanzania wengi HATUJALIZOEA!
 
Back
Top Bottom