Hicho chuo cha ccm kitakuwa kinafùndisha ujinga na uzuzu
Rudi soma historia yake Dk bashiru ally toka UDSM.
Sio kukurupuka tu na toothpick mdomoni na kuja hapa ku-share!
hahahaha hicho ndio chama tawala..upende usipende..mtasubiri sana labda mwaka 2100 jaribuni tena..nawashauri msigombee urais mwaka ujao kwasababu mtaaibika sana.. na wananchi ndio wanaamua sasa kwamba ccm iendelee kuongoza..labda wewe nyumbani kwako pekeyenu..namaanisha wewe, mmeo, na watotoKwa CCM ya wahuni ya hawa akina Polepole nani anaeweza kumtengeneza Nape hata kama ana mapungufu yake..??
CCM yote ya sasa imejaa wahuni.
Huyo Bashiru ndiyo anatakiwa akapikweKweli kabisa Nape anahitaji kupikwa.
Kumbe hata wee popoma ni muhuni wa CCM!!hahahaha hicho ndio chama tawala..upende usipende..mtasubiri sana labda mwaka 2100 jaribuni tena..nawashauri msigombee urais mwaka ujao kwasababu mtaaibika sana.. na wananchi ndio wanaamua sasa kwamba ccm iendelee kuongoza..labda wewe nyumbani kwako pekeyenu..namaanisha wewe, mmeo, na watoto
Angalau angalau anahitaji maji mara moja. Nape amevilia haivi tena 😂
Kwani yeye kasema hawajaiva au HAWAJAPIKWA?Kupikwa ni jambo moja na kuiva ni jambo lingine.