Dkt. Bashiru Ally: Mjamaa anayeishi kibepari

Wiston Mogha

Senior Member
Feb 13, 2014
149
96
Dk. Bashiru mjamaa anayeishi kibepari

Na Wiston Mogha

IPO wapi ile akili kubwa aliyokuwa nayo Dk. Bashiru Ally? msomi aliyekuwa akikemea wazi wazi namna dola inavyovibeba vyama tawala. Leo naye amelambishwa asali ya kukaa kwenye VX na kusahau kila kitu.

Huyu sio yule aliyekuwa anazungumza kwa lafudhi tamu ya kiswahili lakini sasa amekuwa anatoa lafudhi chafu ya chooni na hata kuhoji Udaktari wake ameupataje? leo hataki eti tume huru, leo hataki demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa itamalaki kwenye nchi ambayo wazee wetu waliipigania kwa nguvu kubwa.

Hawezi kukemea tena? na ndio maana leo anafanya vichekesho vitupu huku Kigoma, kabebwa na Polisi kuzuia mkutano wa Zitto Kabwe ambaye ni Mbunge wa Kigoma Mjini huku akiwa kwenye magari ya serikali.

Kuhusu magari ya serikali ndio imekuwa mshangao mkubwa sana kwangu leo. Sikujua kama gari za ofisi za serikali zinaweza kutumika kwenye msafara wa kisiasa. Nimeshangaa kuona gari za tanroads zikitumika kumbeba katibu mkuu na wanachama wa CCM. Ajabu kubwa ni kuona mkuu wa mkoa kwenye msafara wa chama akitumia gari ya ofisi yenye namba za *RC KGM* akipeperusha kabisa bendera kwenye msafara wa chama. Wapi tunaelekea?

Leo akemei namna CCM inavyobebwa na dola kwa kugharamikiwa kila kitu ikiwemo taasisi za serikali kutoa msaada kwao kwa kila kitu.

Dk. Bashiru sio yule mjamaa aliyekuwa anahubiri upendo na siasa za kimshikamano bali sasa anahubiri siasa za kumpambania Mwenyekiti wao
 
Mafile yako tunayo kuanzia ujinga uliofanya chuo mpaka ujinga unaofanya Kigoma kwa sasa tunasubilia mda wa kampeni jukwaani tukurarue ralue mpaka uone dunia chungu, siasa zako zifanyie uko uko vichochoroni ukija hapa JF tutakudharirisha dogo tutafunguka vitu ambavyo baba yako, mama yako mpaka boss wako havijui utashangaa vimejulikanaje tunakupa onyo koma kuja jifanya unajua andika andika mitandaoni tulia uko uko tutakudharirisha tumekupa hits tu kidogo, endelea jifanya unajua
 
Mwenzako kuweka jina nawe weka lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ficha upumbavu wako
 
Jibu hoja tukuelewe achana na vitisho nyau vyako kwani havisaidii kuelimisha watu
 
Back
Top Bottom