junior2008
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 528
- 42
Hao waandishi wa habari nao kwanini wanamtafuta Bana kila wakati kusikia maoni yake?
Huyu mzee mie sioni utaalamu wake zaidi tu ya kujipendekezapendekeza tu kwa CCM.
zimmerman, niko very serious, zile opinion polls za REDET, zimefanya kazi nzuri ya 'trend setter' mwanzilishi sio Dr. Bana, mwanzilishi kashapewa shukrani zake kuteuliwa VC sasa ni zamu ya Bana nae atoke!.We Pasco, upo serious au just joking?
Vyovyote vile Bana ni disgrace kwa wasomi wetu wa juu kabisa. Ukimsikiliza sana Bana kwa makini unagundua kabisa kwamba kama hawa ndo wasomi wetu, basi kitu hakiko sawa katika mfumo wa elimu zetu za juu tunazozitoa kwa watoto wetu na kwa vizazi vyetu vijavyo. Hivi political theorists wanaotakiwa kuzalishwa pale Mlimani wanamtegemea Bana wa an opinion poll NGO ya REDET? Dr mtu mzima kabisa anajitamba na kupata credit kwa tule turesearch twa questionnaires kuwauliza watu kama Kikwete anakubalika au vipi halafu na nyie mnasema ni strategist wa maana?
Pasco hapa umeniacha sin mbavu kabisa!!!zimmerman, niko very serious, zile opinion polls za REDET, zimefanya kazi nzuri ya 'trend setter' mwanzilishi sio Dr. Bana, mwanzilishi kashapewa shukrani zake kuteuliwa VC sasa ni zamu ya Bana nae atoke!.
Kama JK hakubaliki, uki set trend kuwa anakubali sana, hata wale wasiomkubali wana change mind na kumkubali! na uthibitisho ndio huo, amechaguliwa tena!.
Kwa vile kwa 2015 mtu wetu ni Lowassa, nawashauri wale kamati yake, mtumieni Dr. Banna kufanya reseach Watanzania wanamtaka nani awe rais ajaye?. Anafanya sampling Monduli kwa Lowassa, Igunga kwa Rostam na Kigoma kwa Serukamba. Then unakuja na matokea "Watanzania asilimia 99.9% wanamtaka Lowassa"!. Hapo unakuwa tayari ume set trend, hata wale waliokuwa hawamtaki wakishasikia ni 99.9 % watajihesabu kumbe wao ndio hiyo 00.1% then watajiona ni wastage, watamsupport Lowassa.
Huyo jamaa siku mkimsikia ameongea point, mnitafute niwape weekend treat, Matema Beach. All paid by me.
kina nani walimpitisha 'burner' kuwa mzungumzaji wa masuala ya kitaifa yanayohusiana na siasa? Si bora bashiru?