Birigita nakupenda!Huyo jamaa siku mkimsikia ameongea point, mnitafute niwape weekend treat, Matema Beach. All paid by me.
Katika wahadhiri wachambuzi wa siasa sijawahi kuona wa hovyo kama Bana, ameleweshwa u-ccm na ndio maana hata hana ubavu wa kuchambua kwakuwa uchambuzi wa siasa za nchi yetu mara nyingi unailemea ccmNimesoma ktk MWANANCHI leo kuhusu sakata la posho mpya za Wabunge na na Ndugai kumshukia Sumaye. MWANANCHI walitaka maoni ya Dk Bana wa UDSM.
Badala ya kutoa maoni yake juu ya 'mzozo' wa Ndugai na Sumaye, Dk Bana amembeza na kumshambulia Sumaye ati anasema hayo kwa kuwa ana uchungu wa kuikosa nafasi ya Urais baada ya kushindwa na Kikwete ktk uchaguzi wa ndani wa CCM!
Najiuliza huu ndio uchambuzi wa Dk, Mhadhiri Mwandamizi wa Siasa UDSM! Kumbe si ajabu NORAD kusitisha ufadhili REDET, Dk Bana is biased!
Kwa wasiomjua Dr. Bana, ndio mnaodhania, anajipendekeza, au anajikomba komba kwa CCM/JK. No. Kwa sisi tunamjua na kuijua REDET, tangu kitambo jinsi inavyofanya kazi nzuri haswa zile opinion polls zake, zilivyofanya kazi nzuri kwa CCM kwa kufanya kazi ya trend set ya ushindi hadi kupelekea Prof. Rwekaza kupewa asante ya U-VC, hivyo DR. Bana ni strategist mzuri anaejua aseme nini ili watawala wafurahi.
Mimi kama mshabiki wa Lowassa, naishauri ile kamati yake ya urais 2015, tuitumie na REDET vizuri, watutengenezee opinion poll yetu kuonyesha 2015, Watanzania wanamtaka Lowassa ili kujenga trend ya ushindi, tena akishashinda, Dr. Bana ndio anachukua nafasi ya VC kama asante yake!.
dr bana hakuwahi kusoma A level aliku mwal mkuu wa shle ya msigiHivi Dr. Bana (a.k.a. Rugimbana) amesomea shule zipi O-level na A-level na alifaulu katika madaraja (divisions & points) gani kabla ya kwenda UDSM?
bk vijijini, hakikaAcha utani! Sasa ilikuwaje akasoma mpaka PhD? Shule ya msingi ipi hiyo?