Dk. Bana ataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA

Dk. Bana ataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA

Katika gazeti la mwananchi la leo amesikika Dk. Benson Bana akisema ana mpango wa kugombea ubunge jimbo la Bukoba vijijini kwa tiketi ya Chadema.Hii imekaaje wadau?



Chanzo: Gazeti Mwananchi | 14 Novemba,2014

CDM na UKAWA hawamuhitaji mtu, tena anayejiita msomi asiyejua maana na umuhimu wa katiba; Bana abaki huko huko CCM kwa wachumia tumbo wenzie. Bs
 
Sidhani kama CDM ni wajinga kiasi hiki?! Huyu atauza jimbo kwa ma-CCM zero hours, kama CDM wakifanya makosa hayo ya kumsimamisha.

Mkuu afadhali umeliona hilo lengo ni kusaidia CCM wapite bila mpinzani na si jingine.
 
Jamani chama ni lazima kisimamie kanuni zake...Chama bila kufuata kanuni ni Vurugu....hakuna aliye juu ya Chama
 
Dr Bana hata akijibaragua kiasi gani ajibu hoja kwa nini alimwandikia email huyo jamaa kuwa " kazi imekamilika"?
 
kama nitakuwa nimekosea nisamehewe , naomba kuuliza , hivi huyu Dr Bana ana akili timamu ?
 
Katika gazeti la mwananchi la leo amesikika Dk. Benson Bana akisema ana mpango wa kugombea ubunge jimbo la Bukoba vijijini kwa tiketi ya Chadema.Hii imekaaje wadau?



Chanzo: Gazeti Mwananchi | 14 Novemba,2014

hujajiunga na chama mpk sasa afu utajiunge na ugombee ubunge!!!!...
 
Kwani anakaribia kusitaafu mpaka ameanza kufikiria kwenda Dodoma kutoroka vikao, kulala na kudai nyongeza ya posho
 
Dr Bana ni mnafiki na msaliti mkubwa mwenye kujipendekeza kwa watawala kwa ktumia jina na heshima aliyonayo kwa taaluma yake. Ukweli huyu si binadamu anayestahili kuaminika. Nimefuatilia sana analysis zake ni za kipiga debe na ksishabiki. Ni sawa na gaidi anayetafuta utaalamu kisha kuutimia katika kufanikisha malengo ya kigaidi. Sina imani na Dr Bana. Ni mtu anayeelekea kuwa professional fisadi katika kitengo cha kupotosha ukweli na ku create confusion kwa taifa in favor of mafisadi na watawala.

Whatever he wants to do and no matter how he pretends to be, he can only make it comfortably with ccm or act.

Kwingine kote atakakoenda, anapeleka virusi vya ebola na u pupu!. Huu ndio ukweli, na natoa tahadhari vyama vingine vya siasa msidanganyike kumpa nafasi huyu mtu. Mtajuta.
 
Jaslaws;11131635]Hivi kumbe huyu jamaa ni wa bukoba,ili kabila ntakuja kuliama..this is too much..!!
Siwezi amin kama huyu jamaa n mwenzetu. Anatudhalilisha sana wahaya. Kenge mkubwa
 
Huyu mzee hatabiriki!.Juzi channel 10 anapigia chapuo katiba ya Chenge na Sita,halafu leo anasema anataka kugombea ubunge kwa ricket ya CHADEMA?!,hafai kabisa.
 
huyo hafai ata kdoga kuwa chadem, akiwa ktk kpnd cha tuongee asubuhi star tv nlishudia akiwaponda ukawa akadie mbali
 
Back
Top Bottom