MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,950
Disc Jockey au DJ ni kazi ambayo wenzetu huko wanaichukulia serious lakini huku kwetu mpaka kijana afeli shule ndio aingie fani hii.
Unaenda bar, club, pub au kwenye sherehe DJ hajui nyimbo flani ipigwe wakati gani na kwa rika gani. MaDj wavivu kutafuta nyimbo.
DJ hawajui nyimbo za kimataifa akipiga ya kiingereza ni Get Out the Way Bitch ya Ludacris na Oldies ambazo common sana.
Yaani akijua (Beat Per Minute) BPM basi licha ya kusaidiwa na software kama virtual DJ lakini wapi.
DJ mchafu hajiweki smart. Zamani DJ lazima awapagawishe mademu. Lazima aondoke na demu wako. DJ hana exposure anapiga Bongo Flava na singeli tu. Dj kijana lakini hana utajiri wa nyimbo mpya "club banger" za kimataifa.Zamani nyimbo unaanza kuijulia club.
DJs wa siku hizi mpaka unakariri play list yake, unajua ikitoka Jerusalem inaingie "skeleton move". Kila siku lazima upige Still D.R.E.