Django vs Laravel, which one is the best framework?

Django vs Laravel, which one is the best framework?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,786
Reaction score
35,747
Habari wana jamvi!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, hizi ni frameworks zinazotumika katika back end web development!

Django ni framework for python na laravel ni ya PHP!

PHP ina framework nyingi kama Yii, codeignitor na Zend ila laravel ndio inaongoza hapa in terms of popularity!

Python in web framework kadhaa kama tornardo na flask ila katika ulimwengu wa Python Django ndio the best frameworks!

Laravel ni framework mpya na ambayo imejipatia umaarufu sana na pia django ni framework kongwa na iko stable!

Interms of learning curve, django inahitaji muda kui master ukilinganisha na laravel (in my opinion)!!

Mpaka sasa Django wame release django 2.0 ambayo ina some improvements wakati laravel imefikia verison 5.5 pia ikiwa na some improvements!!

All in all, kwangu naona django ni the best framework ukilinganisha na Laravel!

Je kati ya laravel na django ipi ni the best??
 
Hapo sasa huoni unaongelea languages mbili na frameworks mbili pia. So kila moja inaweza kuwa the best kwenye language yake. Unless ungekuwa unaongelea frameworks inayoweza support both languages then tuchangie the best
Embu fafanua mkuu!
 
Hapo inategemea na resource ulizo nazo,

Kumbuka hosting za PHP/ laravel ni bei nafuu kuliko django, ila language kuwa best n pale inapofanya kitu ambacho language nyingine haifanyi.
 
Hapo inategemea na resource ulizo nazo,

Kumbuka hosting za PHP/ laravel ni bei nafuu kuliko django, ila language kuwa best n pale inapofanya kitu ambacho language nyingine haifanyi.

Mfano django ina built in admin section na laravel haina!!

Kuna digital ocean ila kidogo wako juu. Ila kuna bluehost ni cheap ana support django...
 
I will go with Django... napenda django kwasababu ya vitu vingi plus security yake ipo tight kidogo

Nimefanya more than five complex systems with Django nimekuja jug us us kuwa django ina solve many web development/design patterns..
 
Mfano django ina built in admin section na laravel haina!!

Kuna digital ocean ila kidogo wako juu. Ila kuna bluehost ni cheap ana support django...

DigitalOcean server inaanzia 5$ na zote ziko SSD powered and inatosha kabisa ku host project ya kawaida.
All I know I can Host PHP project hata kwa 1$ kitu ambacho ni unlikely kwa Django.

kuhusu which is better bila kutoa real life scenarios inakua haina maana nafikiri mleta maada unaposema tool fulani ni better uwe na concrete real life examples ambako hiyo tool ni better and that way people wata benefit na hizi discussions

Always remember "Having a Right Tool for a Right Job"
 
When I saw the heading , nikafikiri mambo ya movie DJANGO but nakutana na language and coding...
Anyway fanyeni mtengeneze application itakayosupport touchless mouse...
 
ni k

nafikiri mtumiaji wa framework mwenyewe kama atakuwa mzuri kwenye lugha inayosapotiwa na hiyo framwork anawe za sema hii ni framework nzuri zaidi ya nyingine japokuwa zinafanya kitu kimoja

Nimekupata mkuu ila hapa tunajaribu kuangalia kati ya hizo framework mbili ni ina nguvu au ina ubora generally kushinda mwenzake!!

Maana unaweza ukawa unatumia laravel lakin bado ukasema django ni nzuri may be kwenye swala la security na stability plus community and vice versa!!
 
I will go with Django... napenda django kwasababu ya vitu vingi plus security yake ipo tight kidogo

Nimefanya more than five complex systems with Django nimekuja jug us us kuwa django ina solve many web development/design patterns..
Fanya tano zingine kwa laravel
 
Back
Top Bottom