Dj seydou ndani ya fairway pub

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,167
Reaction score
35,733
wakuu nipo Fairway pub,huwa nakuja mara kadhaa hapa.kwa wakongwe kidogo wenzangu watakubali huyu Dj hufanya tusahau dunia ya sasa! Hongera kwake kwa mpangilio bora wa Muziki hasa Zilipendwa!
 
Tupe mbili tatu basi anatupia kopo gani mida hii?
 
Anapiga flashback?
Maana huo ndo ugonjwa wangu!
 
keshapiga jojina....? na ule wimbo sijui jina lake lakini maneno ni...'napenda nipate lau nafasi, nipate kusema nawe kidogo aaah mamaa, mwenzio naumia'....au rangi ya chungwa...
 
keshapiga jojina....? na ule wimbo sijui jina lake lakini maneno ni...'napenda nipate lau nafasi, nipate kusema nawe kidogo aaah mamaa, mwenzio naumia'....au rangi ya chungwa...

ah hyo inanikunaga ila kitu "afro" hcho lazima niingie kati lol
 
Tusio na hela tumo ndani tumejipumzikia
 
Kama ni DJ Seydou Mkandara mwambie atutwangie "Sussudio" wa Phil Collins kwani ndo zilikuwa zake hizo!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…