Dj fetty talks about anti-virus: Kuna ukweli apa jaman?

:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:
 
:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:
 
Nadhani ujumbe umefika na wameupata,wanachotakiwa ni kufanyia kazi ujumbe huo na sio kulalama kwa kuwa wanachombo cha kulalamia
sio kwamba Wtz hawaoni kinachoendelea wanaona na ipo siku watatoa majibu ambayo hata wao hawataweza amini kwani wao kwa sasa wanaona kama sahihi na wtz wana waelewa,ila itakavyo kuja kuwa tofauti ndipo watakapo gutuka

SUGU
PAMOJA SANA
 
Hebu tujikumbushe hii,kweli nyerere aliona UMASIKINI ni adui wa taifa!!
 
Last edited by a moderator:
seriously nani kwa kizazi cha sasa... aanze kusikiliza nyimbo za mabaga fresh.. sister P.... lawama nyingine upuuzi mtupu! hawa wanaojiita vinega hii vita kamwe hawatashinda clouds ilikuwepo na itaendelea kuwepo..
 
MMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMM
Japani,kama lughe angesikia haya asingekubari kumjumuisha afande ktk tamasha la juzi,jamaa kapaka,kaponda,katukana

yaliyosemwa humu hayaongeleki
 
Last edited by a moderator:
seriously nani kwa kizazi cha sasa... aanze kusikiliza nyimbo za mabaga fresh.. sister P.... lawama nyingine upuuzi mtupu! hawa wanaojiita vinega hii vita kamwe hawatashinda clouds ilikuwepo na itaendelea kuwepo..

Mbona hajaelewa hizi movement za antivirus,hebu rudia kusoma post za wachangiaji huko juu.
 
Ujumbe umewafikia. Tanzania media haipo moja, kwanini nyimbo zao hazipati airtime kwenye media nyingine?

Ubunifu zero. Endeleeni kulalamika tu. Time will tell.
 
Hao wakongwe unaosema wamepewa shavu si kweli. Wametumiwa tu kama Big G. Saa hizi wameshatemwa zamani. Na hilo wao wenyewe walikuwa wanalijuwa kabla, but njaa mwanaharamu. Is crystal clear that Vinega will not benefit anything in this movement. Is the up coming Hip Hop generation which will scoop the whole stake.
 
nawasikitikia sana lwp, afande sele, gangwe mob kwani jumamosi was the only day ... Wametumika na kutoswa kama bigjee
 
seriously nani kwa kizazi cha sasa... aanze kusikiliza nyimbo za mabaga fresh.. sister P.... lawama nyingine upuuzi mtupu! hawa wanaojiita vinega hii vita kamwe hawatashinda clouds ilikuwepo na itaendelea kuwepo..
Hebu tutajie msanii wa muziki unaemjua wewe mwenye mafanikio makubwa kupitia muziki! Namaanisha mafanikio! Hata huyo dogo diamond mnayepiga nyimbo zake 24/7?
 
Sugu "Mheshimiwa Spika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, kupitia Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano alitangaza kuwa amewapa Wasanii Studio ya kufanyia kazi zao. Hata hivyo, baadaye wananchi na wadau wengi wa sanaa, nikiwemo mimi binafsi, tulishangaa kusikia Studio hiyo wamepewa NGO binafsi ya Tanzania House of Talent (THT)! Pia Rais aliahidi na kutoa nyumba ya Serikali kwa Wasanii ambayo ingetumika kuendeshea Studio husika, lakini nyumba hiyo ya Serikali iliyotolewa na Rais sasa iko chini ya THT na ndio makao ya THT"
 
Naam! Mwmbie Huyo Mbadilisha Cd et Dj! Weeee! Dj????? Hata kukaa karibu na chuo kikuu sio kuwa na Digrii!
 
No no no! Dj ferry ur totally wrong. kwanza usi - polarise kwamba wasanii wote walioko kwenye umbrella yenu wanawaunga mkono na wale wa sugu ni maadui. Hiyo ni misconception - walioko kwenu wanaganga njaa, lakini kukiwa na secret voting na alternative wata walk out - pili, ninyi kama pioneers wa enternainment ni sawa mmefanya kazi nzuri lakini ham jaendeleza equity ili wasanii nao wafaidike. Hii si kwamba wawe kama nyinyi no, lakini hali yao ionekane kaam sanaa ndio fani yao ya kuishi na kukiku familia zao in the future si kupata mademu tu. Nilitoa mfano wa Uganda ambapo wasanii, wapromota na radio stations wote wanafaidika. Unless mnafanya mabadiliko na kuondoa camps, mtakuwa nao wanaowasupport kwa njaa, lakini chini chini wanajisemea fxxxx you!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…