princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,063
Duh..!!
Very TrueConnection brooo mda mwingine anaye fanikiwa kimaisha cyo mwenye elimu sana ila connection inaweza kukupatia michongo mingi zaidi, na vile unavyozidi kufaamiana na watu ndyo michongo inafunguka angalia Diamond so kwamba anajua kuimba sana hapana ila mipango na connection alizonazo ndzo zinampa michongo mingi kujuaana na watu inasaidia sana nawe pia ukiwa unajituma alafu kingine nani anaye kusimamia icho nacho kinamaana sana maana huwezi kujisimamia kwa kila kitu kuwa na Meneja hasa anayejielewa inasaidia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye tuzo hata DJ wa Diamond amechukua tuzo hizo za nje, je kungekuwa na tuzo za ndani(Tanzania) ushindani wa ma DJ ungekuwaje?Kilichonifanya niandike huu uzi ni kwanini D-Ommy ananyakua tuzo akati DJ zero hata kwenye Nominantions tu hayupo
Naona uko sahihi, kwa vigezo wala sioni tofauti yao sana, na inawezekana wako wengine bora zaidi nje ya hiyo radio.Connection brooo mda mwingine anaye fanikiwa kimaisha cyo mwenye elimu sana ila connection inaweza kukupatia michongo mingi zaidi,
Mkuu hawa watofautishe na hao kina Dj Snake,Dj Khaled,Maphorisa,Spinal, bali hawa ni wa redioni mbona nimeelezea kabisa hapo juu??Dah ama kweli wazungu njoo tu mtawale tena..!!Hao ni MaDJ wa nini sasa ama zile takataka wanazofanya kumix mix nyimbo??
Sasa kama wao ni MaDJ wakina David Guetta, na Dimitri Vegas, Timmy Trumpet Hardwell tuwaiteje.
Kwani umesema RDJ au DJ?Mkuu hawa watofautishe na hao kina Dj Snake,Dj Khaled,Maphorisa,Spinal, bali hawa ni wa redioni mbona nimeelezea kabisa hapo juu??Dah ama kweli wazungu njoo tu mtawale tena..!!
DJ gani? Romy Jones [emoji23][emoji23] daah sawaKwenye tuzo hata DJ wa Diamond amechukua tuzo hizo za nje, je kungekuwa na tuzo za ndani(Tanzania) ushindani wa ma DJ ungekuwaje?
Naona uko sahihi, kwa vigezo wala sioni tofauti yao sana, na inawezekana wako wengine bora zaidi nje ya hiyo radio.
Kwani John Terry anamzidi nini pawasa wa kilosa?Home boy Omary Said aka DJ D-Ommy, Mr.Washawasha, The International DJ, Jitu nene kutoka Mjengoni Clouds FM the people's Station. Huyu chalii ana tuzo Mbili mkononi za kimataifa alizonyakua hadi sasa kama DJ bora barani Afrika.
Pia amekuwa akiburudisha Nje ya nchi kama South Afrika, Marekani, Nigeria na kwingineko Kwenye clubs na Tv na Radio shows kaa izo.
Yeye na DJ Zero aka Zigidi, DJ kiduara, Undisputed one wamekua wakikisanua kinyama Pale XXL kupitia session zao, All hands on decks na Ngoma za Town(DJ D-Ommy) Zero Effects na ngoma za Town
(DJ Zero).
Kilichonifanya niandike huu uzi ni kwanini D-Ommy ananyakua tuzo akati DJ zero hata kwenye Nominantions tu hayupo na naona wote ni wakali??
BTW niliwaza huenda Playlists za DJ Zero ambazo huwa zina ngoma kali tu(Hits) ndo kinachomwangusha compare to D-Ommy ambae hupiga ata zisizojulikana, kwenye Scratching pia Zero yuko Juu sana, Swali ni Why DJ D-Ommy and not DJ Zero??
Karibuni kwa maoni.
Ahsanteni
Anaitwa dj arch Jr. yule dogo noma sana. Now ni producer pia..hahahaha acha nicheke hivi unaamini kweli huyo DJ ommy takataka kawazidi madj wote Africa ? yule Dj mdogo wa miaka 6 kule south hata hamfikii
Acha ushamba wewe. Kuwajua hao Ma-Dj ndo ushajiona unajua kilakitu!!!Hao ni MaDJ wa nini sasa ama zile takataka wanazofanya kumix mix nyimbo??
Sasa kama wao ni MaDJ wakina David Guetta, na Dimitri Vegas, Timmy Trumpet Hardwell tuwaiteje.
..hahahaha acha nicheke hivi unaamini kweli huyo DJ ommy takataka kawazidi madj wote Africa ? yule Dj mdogo wa miaka 6 kule south hata hamfikii