Dizeli/petroli kushuka mwezi ujao

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Uyu mkurugenzi wa ewura mzima kweli?anasema dizeli itashuka next month na akaulizwa mbona kerosene imepanda alichojibu ata sikukielewa ambaye alielewa anambie pls
Source tbc news at 20hrs today
 
si walisema wanaanza mwezi july eti wakapunguza sijui walipunguza nini sijui maana ndo kwanza ikapanda
 
itashukaje wakati thamani ya shilingi dhidi ya dola inazidi kuporomoka!
 
hii ndo propaganda ya serekali zote
Uyu mkurugenzi wa ewura mzima kweli?anasema dizeli itashuka next month na akaulizwa mbona kerosene imepanda alichojibu ata sikukielewa ambaye alielewa anambie pls
Source tbc news at 20hrs today[/
QUOTE]
 
wakuu haiwezekani kushuka bei ya mafuta wakati thaman ya sarafu ipo chini hizo ni mbwembwe za kisiasa anatumwa kuwaadaa wananchi. mwezi juni alisema ikifika july mos bei itashuka matokeo yake petrol bei ilibakia km ilivyo na diesel ikashuka kwa sh 20. leo anakuja anadai bei itashuka mwezi ujao.
yy anadai serikali inaanza mchakato wa kuagiza mafuta on bulk hiv inaingia akilini.sidhan kama serikali inauwezo wa kuagiza mafuta ya kuweza kumit nchi nzima.mfano ni kuagiza mafuta mazito ya kuwashia mitambo ya iptl mbona wamekwama. ho wanataka kukreate shortage ya mafuta na kujiwekea mianya ya wizi na ufisadi
 
mbona vitu vingine vyote vimepanda kabla ya hata july ? walidai mafuta yatapungua 300/- mpaka 400/- sasa hii ya 100/- tana August imetoka wapi.
 
Ha ha ha ha. Hivi Tanzania wanazalisha mafuta siku hizi enh! Yaani huu ni upunguani wa hali ya juu hata speculators wenyewe hawawezi kusema. Km mtu anaweza kupredict kushuka kwa bei ya mafuta ni lazima mtu huyo angekuwa tajiri saaana dunia hapa. Maana anaingia kwenye future contracts huko kwenye stock market anajizolea pesa. Siasa kwenye professionals kazi kweli! Anaweza kudhani tax relief inatosha kucompensate kushuka kwa mafuta anasahau hali ya soko la dunia na uimara wa fedha yetu ndio wenye mantinki ukiachana na kodi zetu.
 
Kwa tanzania siasa inalipa kuliko sector ingine yoyote.. na ndio maana m2 anakimbilia huko ili afisadi tu na akili zinakuwa hazifanyi kazi tena zaidi ya kuwa fisadi serikalini tuna maprof wazuri sana wanaotakiwa kuwa vyuoni wanatoa lecture but wamejikita kwenye siasa coz ndio sector inayolipa sana ....haya wenzetu kenya wamesogea sana kwa sasa mwalimu mkuu lazima awe ni graduate .....hakuna m2 anayeomba matatizo na matatizo humkuta yeyote lakini kwa nini sisi tu WATANZANIA? ...kipindi cha uchaguzi no mgao hadi nikasahau shida za umeme leo hii $ENGENESCO wanasupply giza ...

Maghembe amefail sana kwenye uwaziri wake but ni mzuri sana kwenye kutoa lecture, kuna mwingine ni mzuri sana angekuwa anatoa lecture makamu wenu wa raisi lakini ye sasa hivi hana kazi ingine zaidi ya kufungua seminar na makongamano na majengo na mashule na kufunga seminar ..kama mnabisha angalieni TBC zikiisha wiki mbili hamjaona anafunga au kufungua seminar mara walsha sijui anazindua hospital naomba mods mnipige bun kwa siku 2...

yote kwa yote UOGA wetu na kutotaka kuambiwa ukweli na siasa za chuki na visasi ndizo zilizotufikisha hapa tulipo na tutasota sana, kama kweli hii nchi inaongozwa kwa misingi ya kidemocrasia na haki sawa kwa wote na hizo sifa za kupendwa na nchi kama marekani ni ujinga mtupu..(ninavyojua mimi mmarekani hanaga urafiki na m2 anataka kuchukua chake asepe) sina haja ya kulitolea mifano kwani iko mingi sana..

TISS wako kwa ajili ya nani hivi??????
 
Back
Top Bottom