Dizasta Vina ni nani?

Dizasta Vina ni nani?

namuona dizasta akija kuwa na jina kubwa sana kwani watu weng tulivyockiliza nyimbo zake tumekuwa ma ambasada wazur kwa wengne
 
Dizasta ni mwana ngojera anaetumia midundo ya hiphop kuhadithia vitu mbalimbali.

Vijana wengi wa sasa wametokea kuvutiwa na ngojera zake kiasi cha kujichanganya kudhani anafanya muziki wa rap.

Kiuhalisia yupo genre moja na Mrisho Mpoto.
kwahyo mwana ana imba ngonjera au cio
mchaw huanza hvhv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom