Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,884
- 18,826
Mi siyo mpenzi wa Hip hop lakini kwa bahati jana nimemsikia Dizasta Vina.
Leo nipo spotfy naunganisha ngoma zake tu.
Jamaa anajua sana. Anajua kuandika.
Inaonekana anafeel kabisa anayoandika.
Pia inaonekana na shule kapita.
Ni nani huyu jamaa?
Leo nipo spotfy naunganisha ngoma zake tu.
Jamaa anajua sana. Anajua kuandika.
Inaonekana anafeel kabisa anayoandika.
Pia inaonekana na shule kapita.
Ni nani huyu jamaa?