Dizasta Vina a.k.a Maradona


Nmecheki

Namfatilia azma sana lkn dizasta ni street verified legend with No crown on his head sababu ya content

Mpk fid q ameomba collabo+coniboi

Stay tuned

Dizasta he’s far 1000miles away from Azma

Ukitaka mtu wa kunata na beat na story teller mzuri labda uniletee P-mawenge hapo sikupingi

Lkn still Dizasta ni master kazini[emoji91]
 
Nmekwambia Azma akiwekwa na Disasta mimi nampa Azma, sasa rapper mkali unaendaje off beat?

Pigo hizo kuna madogo walifukuzwa kwenye radio wanajifanya marapper wanapewa beat wanapuyanga, sikiliza hio Hatia III utanielewa nazungumzia nini yupo off beat kabisa alafu nyinyi ndio mnaoharibu wasanii kusifia hata visivyostahiri kusifiwa
 
Au Itakuwa kasikiza kibabu na kibinti[emoji28]

Kumwelewa jamaa ni ngumu saana asee

Kwamba anaandika na kujijibu[emoji1787][emoji1787]
Kwenye kibabu na binti kasimama upande wa binti tu hajajijibu mle labda kwenye confessions of a mad man na konda.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Shukuru leo kakako nipo so education is free[emoji23][emoji91]

This song is on [emoji681] until further notice [emoji1477]
Umeanza upuuzi upuuzi ung'aeng'ae, ngoma zenyewe ni kuchi kuchi nai nai.
Mtaani umekuja juzi juzi makuzi unadhania mimi ni mpuuzi mpuuzi Qum*m@e


Tumsubiri rapcha kama atajibu [emoji3][emoji3]

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Kuna uandishi fulani huwa nikishausikia tu kwa msanii najua huyu mwamba ana stress, huo uandishi nauona pia kwa Dizasta he is too philosophical kitu ambacho kina damage sana artistic vibe yake.

Mfano hai ni stress anayokuwa nayo Fid Q kila akiwa jukwaani, huwa haja settle kabisa kwenye show ila utofauti ni kuwa Fid Q yeye anayo rythimical vibe kwenye nyimbo zake japo naye ni philosophical Mcee, ila anakwama kwenye jukwaa sababu ya presure na stress.

Dizasta anahitaji kuji transform asikubali kuwa Mcee wakuwafariji wasela magetoni, bali akubali kuwa msanii maana mwisho wa siku ni pesa kwenye sanaa na watu waburudike pia.

Ukijaribu kumlinganisha Dizasta na watu kama Nikki Mbishi, Nash Mc, One ze Incredible, Songa, P Mawenge na ZaiiD utaona kama mwana mbona ana maandishi konki ila bado utakubali hawezi kusimama na hao watamaduni wenzake akasimama, why? Sababu anakosa ladha ya usanii tu.

Ila pia aachane na dis kwa yule dogo
 
Chizi wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Dogo gani maarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…