Diwani wa Mianzini (Dar) afariki dunia

Diwani wa Mianzini (Dar) afariki dunia

Mapujds

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2011
Posts
1,286
Reaction score
129
Diwana wa ccm kata ya mianzini,temeke Dar amefariki dunia jana jioni katika hospital ya ZAKHEM.

Kwa mujibu wa taarifa za Wapo Radio, diwani huyo bi CECILIA MACHA alianguka gafla katika kikao cha halmashauri kuu ya CCM ya Wilaya kilichofanyika jana Ijumaa.
 
Arrest in fire kama alikuwa fisadi. CHADEMA tuingie kazini.
 
Taarifa zaidi zinadai kuwa kuna makundi ambayo yamejengeka ndani ya kata hiyo ambapo baadhi ya makundi yalikuwa yanatofautiana na utendaji wa mama MACHA.ndugu waliohojiwa wanadai kwamba kabla hajaenda kwenye kikao aliongea na mwanafamilia mmoja akisema anakwenda kwenye kikao kujibu tuhuma dhidi yake na ndipo ikawa mwisho wake na hakurudi tena mpaka wakaketewa taarifa za msiba.R.I.P mama MACHA.
 
Mpungati kuwa CCM siyo kuwa muovu au mtu wa motoni na kuwa CDM siyo kuwa mtu wa peponi.

May Almight Allah rest her soul in peace.
 
Last edited by a moderator:
Mbona kama ya Kolimba, vikao vya Magamba hatari sana, ukienda uwe umeandika wosia kabisa.
 
Hatukutaka diwani aanguke afariki dunia; bali tunataka CCM ianguke na ife maana imezeeka mno na inaumwa sana!

R.I.P. Mh. Diwani.
 
Taarifa zaidi zinadai kuwa kuna makundi ambayo yamejengeka ndani ya kata hiyo ambapo baadhi ya makundi yalikuwa yanatofautiana na utendaji wa mama MACHA.ndugu waliohojiwa wanadai kwamba kabla hajaenda kwenye kikao aliongea na mwanafamilia mmoja akisema anakwenda kwenye kikao kujibu tuhuma dhidi yake na ndipo ikawa mwisho wake na hakurudi tena mpaka wakaketewa taarifa za msiba.R.I.P mama MACHA.

Yaleyale ya kolimba.
 
Diwana wa ccm kata ya mianzini,temeke Dar amefariki dunia jana jioni katika hospital ya ZAKHEM.

Kwa mujibu wa taarifa za Wapo Radio, diwani huyo bi CECILIA MACHA alianguka gafla katika kikao cha halmashauri kuu ya CCM ya Wilaya kilichofanyika jana Ijumaa.

R.I.P Diwani.

Nafasi nyingine kwa Chadema hiyo manake CCM wamezidi kulogana.
 
Taarifa zaidi zinadai kuwa kuna makundi ambayo yamejengeka ndani ya kata hiyo ambapo baadhi ya makundi yalikuwa yanatofautiana na utendaji wa mama MACHA.ndugu waliohojiwa wanadai kwamba kabla hajaenda kwenye kikao aliongea na mwanafamilia mmoja akisema anakwenda kwenye kikao kujibu tuhuma dhidi yake na ndipo ikawa mwisho wake na hakurudi tena mpaka wakaketewa taarifa za msiba.R.I.P mama MACHA.

Duh this is dangerous, imekua kama ya Hayati horace kolimba... RIP Mama Macha!!
 
Magamba endeleeni kuuana mturahisishie kazi 2015.
 
Back
Top Bottom