james chapacha
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 939
- 200
KAMATA WEZI MEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN! Ni vema wote wanaoisikia sauti ya Mungu nakurudi kundini wawekwe chini ya uangalizi ili kujiridhsha kama PEPO mchafu amewato kiukweli.
Kufunga wiki nzima na majibu papo kwa papo
Nawamegea siri,arusha 2natangaza uhuru we2 tar 5 may ktk viwanja vya NMC,RAIS WA KWANZA WA JAMHURI YETU NI KAMANDA GODBLESS LEMA,IKULU ITAKUWA KARAMA PALE KIMANDOLU MLIMANI,2meahidiwa kupewa eneo na huyo mzungu wa masai camp
Waache waje tu! chujio letu liko makini.Wanaanza mmoja mmoja.but cdm iwe makini tusije tukawa tunawafungulia zizi fisi wenye uchu tukidhani ni kondoo wenzetu, mwishowe tukakuta zizi halina kitu zaid ya mabaki ya mifupa na kinyesi cha chokaa.
Mkuu wewe ni noma!!!
"Mungu kajibu sala zake haraka sana" ashukuliwe alie juu!!!