Ok.Ni kweli Kamanda.Fagia Fagia Wasaliti Chadema isikie tu usiombe ikufike.Ha Ha Haa!!
chadema fagieni wote wabaki wakaskazini tu, hizi kanda nyingine ni wasaliti wafuasi wa zito
Ok.Ni kweli Kamanda.Fagia Fagia Wasaliti Chadema isikie tu usiombe ikufike.Ha Ha Haa!!
huyo diwani tunamjua ni mzinzi, na tapeli maarufu hapo mbulu, bora aondoke aende kwa wahuni wenzake chadema, kila siku anafumaniwa na wake za watu, hafai kabisa
Mzee Bajuta mfanyabiashara wa pembejeo za kilimo??
pole mkeo kaliwa na huyu mtu kwa ujinga wako., mtosheleze mkeo.
Akienda ccm kanunuliwa, ila akienda cdm kaamua kwa hiari yake na hapo ndipo mnapojidanganya. subirini muone ila tu matokea yakija msianze oo tumeibiwa ila mkishinda ninyi mmeshinda. KichekeshoWao wamenunua wale vibaraka wao wa Shinyanga.Lakini huyu kaamua kujiondoa kupinga vitendo vyao
Je ni kweli anahusika na vurugu kati ya wakulima na wafugaji katika eneo lake?
Je ndiye mwanasiasa aliyelalamikiwa na mkuu wa wilaya
huwezi kuwa msafi na mwema ukaipenda ccm!
huyo diwani tunamjua ni mzinzi, na tapeli maarufu hapo mbulu, bora aondoke aende kwa wahuni wenzake chadema, kila siku anafumaniwa na wake za watu, hafai kabisa
Mungu anazidi kutenda miujiza, nyie wote mliokubali kushirikiana na ccm kuihujumu Chadema mtaisoma namba, after low, hao waliojifanya wamejiuzuru huko Shinyanga, ni changa la macho, wamekimbia adhabu iliyokuwa mbele yao, Chadema hakuna mchezo, masalia hayahitajiki huku, hongera zake diwani aliyejitoa ccm kwa kuwanea huruma wananchi wake, Mungu akubaliki, heri mchawi kuliko mnafiki.
Wao wamenunua wale vibaraka wao wa Shinyanga.Lakini huyu kaamua kujiondoa kupinga vitendo vyao
Diwani wa CCM Kata ya Endesh Jimbo la Mbulu Gesso Bajuta amejiuzulu wadhifa huo.
Akizungumza na waandishi wa habari Diwani huyo ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu alisema amechoshwa na ubabaishaji uliopo ndani ya CCM.
Diwani huyo amesema CCM imekuwa ikimuingilia katika majukumu yake na hatimaye kukwamisha maendeleo ya wananchi.Amesema kamwe hawezi kuvumilia na kuwa msaliti wa wananchi wake waliomchagua.
Source:Mwananchi Ijumaa Feb. 21.
ccm kwa visasi wataanza kumtumia tra wamchunguze kama analipa kodi lengo kuua biashara zake ajipange
Molemo wale wa Shinyanga hata hivyo hawakutaka kujiuzulu bali mambo yalipokuwa moto na kujua adhabu inakuja wakajiwahi.
CDM kila siku zinavyoenda wanazidi kupoteza mvuto,watabaki wa kanda yao tu.