Diwani wa kata ya Endamilay (CCM) ajiuzulu

Thrombocytes

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
401
Reaction score
30
Diwani geso bajuta ajiuzulu

Diwani wa CCM Kata ya Endesh Jimbo la Mbulu Gesso Bajuta amejiuzulu wadhifa huo.

Akizungumza na waandishi wa habari Diwani huyo ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu alisema amechoshwa na ubabaishaji uliopo ndani ya CCM.

Diwani huyo amesema CCM imekuwa ikimuingilia katika majukumu yake na hatimaye kukwamisha maendeleo ya wananchi.Amesema kamwe hawezi kuvumilia na kuwa msaliti wa wananchi wake waliomchagua.

Source:Mwananchi Ijumaa Feb. 21.
 
Ujinga na ufisadi wa CCM watu Mbulu na Karatu hawawezi kuukubali, wale watu hawapendagi ubabaishaji mkuu!
 
Wao wamenunua wale vibaraka wao wa Shinyanga.Lakini huyu kaamua kujiondoa kupinga vitendo vyao
Molemo wale wa Shinyanga hata hivyo hawakutaka kujiuzulu bali mambo yalipokuwa moto na kujua adhabu inakuja wakajiwahi.
 
Last edited by a moderator:

Ok.Ni kweli Kamanda.Fagia Fagia Wasaliti Chadema isikie tu usiombe ikufike.Ha Ha Haa!!
 
Last edited by a moderator:
atakuja analia kuomba msamaha hata hivyo ccm bado inamtaji watu wa kutosha kurujesha kata.tupo imara kama mlima
 
Diwani wa CCM Kata ya Endamilay Jimbo la Mbulu Gesso Bajuta amejiuzulu wadhifa huo.Akizungumza na waandishi wa habari Diwani huyo ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu alisema amechoshwa na ubabaishaji uliopo ndani ya CCM.Diwani huyo amesema CCM imekuwa ikimuingilia katika majukumu yake na hatimaye kukwamisha maendeleo ya wananchi.Amesema kamwe hawezi kuvumilia na kuwa msaliti wa wananchi wake waliomchagua.Source:Mwananchi Ijumaa Feb. 21.
Karibuni CHADEMA, hama na watu wako, tutakurudishia udiwani wako na utawatumikia wananchi kwenye Chama kipya!
 
Huyu Bajuta ni zaidi ya kiongozi, mtu yeyote aliyejitambua hawezi kuwa ndani ya ccm.

Mwezi January juzi tu wananchi waliandamana mpaka nyumbani kwake, wakamwambia tunamkubali sana, lakini atoke tu ndani ya ccm maana kuwepo humo ni kushiriki usaliti unaofanywa na ccm
 
Kwa kweli Mungu Ambariki Sana.
 
Diwani wa CCM Kata ya Endesh Jimbo la Mbulu Gesso Bajuta amejiuzulu wadhifa huo.

Akizungumza na waandishi wa habari Diwani huyo ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu alisema amechoshwa na ubabaishaji uliopo ndani ya CCM.

Diwani huyo amesema CCM imekuwa ikimuingilia katika majukumu yake na hatimaye kukwamisha maendeleo ya wananchi.Amesema kamwe hawezi kuvumilia na kuwa msaliti wa wananchi wake waliomchagua.

Source:Mwananchi Ijumaa Feb. 21.

Je ni kweli anahusika na vurugu kati ya wakulima na wafugaji katika eneo lake?

Je ndiye mwanasiasa aliyelalamikiwa na mkuu wa wilaya
 
atakuja analia kuomba msamaha hata hivyo ccm bado inamtaji watu wa kutosha kurujesha kata.tupo imara kama mlima

Halafu utasikia anahamia CDM na kugombea tena udiwani yaani nchi hii aagrrr
 
atakuja analia kuomba msamaha hata hivyo ccm bado inamtaji watu wa kutosha kurujesha kata.tupo imara kama mlima

Kwel mna wateja wengi sana aisee mwambie Membe arudi na mgombea toka huko CHINA huku kumeshanuka na wagombea wenu wa huku wote hawana sifa!
 
Kuna umuhimu wa kuwa na mgombea binafsi, sometimes haya mavyama yana nyima uhuru wawakilishi wa wananchi.
 
Karibuni CHADEMA, hama na watu wako, tutakurudishia udiwani wako na utawatumikia wananchi kwenye Chama kipya!

huyo diwani tunamjua ni mzinzi, na tapeli maarufu hapo mbulu, bora aondoke aende kwa wahuni wenzake chadema, kila siku anafumaniwa na wake za watu, hafai kabisa
 
Back
Top Bottom