MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Niseme tu hii haijawahi kutokea toka tupate Uhuru ametoa msaada kwa wananchi vifaa vya afya kutoka Denmark hongera sana mhe .ntobi wewe mfumo wa kuigwa kwa viongozi wanaotoa matamko kila siku bila msaada wowote .