</p>Hakika ccm ni nyumbani kwao na ninahakika watarudi wooote ikiwemo katibu wao.warudi tujenge nchi kwa pamoja.huyo diwani anastahili pongezi nyingi sana maana kana kwamba amepata ufunuo flani hivi.ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !
Mpaka majina kaweka bado tuu haikuingii akilini? ama kweli.