Diwani wa CHADEMA Kiwira apigwa chini

diwani wa chadema kata ya kiwira amefukuzwa uwanachama na kunyang'anywa kadi kwa mfululizo mrefu wa makosa ikiwa ni pamoja na kushiliki mkutano ccm ulioandaliwa na mbunge wa ccm hilda ngoi
Khaa!! Kwani alipewa udiwani na chadema au wapiga kura wake?? Alikuwa anawatumikia chadema au wapiga kura wake?? Kuna sehemu tulikosea bora ije katiba mpya tuondokane na huu ujinga...
 
Kitendo hiki mlicho amua CDM ..........................nasema tena kitawaponza huko tuendako. speed ya vijana kuingia chamani itaweza kupungua, kama hilo hamlijui fanyeni tathmini.

SP
 
wote wanaofukuzwa chadema ni wale waswahili wanaofanya siasa mchezo! kama akina zito,kitila yona etc yaani hawasomi alama za nyakati. nadhani wanapewa sana upendeleo! si waondolewe tu...hizi ni zama za ukombozi na daima nadhani chadema hawako tayari kuvumilia ujinga wa kiswahili.chadema is very serious political party everyone should know.
 
duh ww kama hujui kaa kimya utachekwa chadema wamechukua kadi yao sasa yeye kama ataendelea na u diwan anajua yeye
 
Khaa!! Kwani alipewa udiwani na chadema au wapiga kura wake?? Alikuwa anawatumikia chadema au wapiga kura wake?? Kuna sehemu tulikosea bora ije katiba mpya tuondokane na huu ujinga...

wew ndo huna akili na usiongee upuuz kiasi hicho kama hujui chadema wamechukua kadi yao sasa kama yy ataendelea kuwa diwan anajua yy kama inawezekana
 
kiukweli cdm imemvumilia sana huyu dogo , alitakiwa atimuliwe wakati ule alipofumaniwa na mtoto wa shule , Poor MWAKALIMBULE ! Umevuna ulichopanda , elimu yote ya DUCE umeitupa chooni ! Ni aibu sana kutimuliwa nyumbani ulikozaliwa .

mbona slaa amepora mke wa mtu? mbona alphonce mawazo amempa mimba mwanafunzi geita hamuwafukuzi?
 
wew ndo huna akili na usiongee upuuz kiasi hicho kama hujui chadema wamechukua kadi yao sasa kama yy ataendelea kuwa diwan anajua yy kama inawezekana
Khaa!! Hizi ndio akili zenu wengi wenu. Huwa mnakurupuka tu kama hamjui kusoma. Hivi mwalimu wenu ni nani hasa???
 
2015 Mbunge atakuwa ni Yusufu Selemani Asukile, From Tosamaganga (EGM), formerly Soldier 39KJ, Then TIA Ngarenaro, NBC Mbeya, 2010 CDM contested Rungwe west, now Muhasibu wa CDM nyanda za juu kusini. Mmeona profile hiyo? Kwao Igogwe pale.
 
hivi chagadema mnataka nini hasa? Yaani mtu akiwa chadema na akawa mpenda amani na akashirikiana na vyama vingine kwenu ni adui! Kweli nyie mnapenda kuona damu za watanzania muda wote.

kama mna upendo na mnahitaji maendeleo basi mwambieni baba riz ampe kazi pro lipumba ili tupate maendeleo
 
Hivi chagadema mnataka nini hasa? yaani mtu akiwa chadema na akawa mpenda amani na akashirikiana na vyama vingine kwenu ni adui! kweli nyie mnapenda kuona damu za watanzania muda wote.

wewe ulisha wahi mwona kiongozi wa ccm ameshiriki katika shughuli za chadema
 
Back
Top Bottom