Diwani wa CHADEMA Kiwira apigwa chini

diwani wa chadema kata ya kiwira amefukuzwa uwanachama na kunyang'anywa kadi kwa mfululizo mrefu wa makosa ikiwa ni pamoja na kushiliki mkutano ccm ulioandaliwa na mbunge wa ccm hilda ngoi

Kushiriki mkutano nalo linaweza kuwa kosa? Mbona vyama hivi vina ushirikiano miongoni mwao na hufanya mijadala name mikutano ya pamoja.
 
Siasa za Tanzania utumbo mtupu!CHADEMA wanafukuzana;CCM wanafukuzana;NCCR na CUF nao wanafukuzana!Siasa zetu zimekosa kabisa uvumilivu!!

Hawa madiwani na wabunge mnao wafukuza wamechaguliwa na wananchi hata wasio na vyama!Katiba mpya iseme ukimfukuza diwani au mbunge atamaliza kipindi chake kama mwakilishi huru
 
Hivi chagadema mnataka nini hasa? yaani mtu akiwa chadema na akawa mpenda amani na akashirikiana na vyama vingine kwenu ni adui! kweli nyie mnapenda kuona damu za watanzania muda wote.
Mkuu damu ya marehemu John Mwamkenja itawamaliza.Na tayari wale wote walio shangilia kifo chake wamekwisha potea.
Fuatilia vizuri na utaliona hilo.
 
Back
Top Bottom