Diwani wa CDM Gibson Meseyeki auza Kata kwa CCM........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa CDM Gibson Meseyeki auza Kata kwa CCM........

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Meitinyiku L. Robinson, Oct 29, 2012.

 1. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni Diwani ya kata ya Olturoto kwa tiketi ya CDM ambaye kwa asilimia 95 amesabisha kata kwenda kwingine. Pamoja na jitihada zake za kutoa pesa zake mpaka kufikia kiwango chake cha mwisho huyu jamaa kaonekana kuwa nincompoop;

  Kimsingi huyu jamaa baada ya kutoa lile liRange lake likapigwa rangi za chama basi ameshaanza kujiona kuwa yeye ndiye kila kitu ndani ya Chama Mkoani Arusha na hakuna kinachoweza kufanyika bila yeye. Na amekuwa akijitunuku majina hasa lile la mfadhili mkuu wa CDM Mkoani Arusha.

  Jeuri hii na kiburi hiki ndiyo ilimfanya adharau viongozi wadogo wa Kata ya Bagata na hata Wilaya ambao ndio waliokuwa chachu ya CDM katika Kata hiyo kwa kuwabebesha tuhumu nzito na kutokana na hizo nguvu zake za pesa hakutaka hata kuwapa nafasi ya kusikilizwa jambo ambalo liliwapa hasira wanachama wengi hasa wa Sasi na kuamua kukihama Chama hicho.

  Jamaa amekuwa akijinadi kuwa ndiye Mbunge wa Jimbo la Arumeru na kama Chama hakitampitisha basi Chama nacho kisahau ufadhili wake na gari lakee arudishiwe. Kauli hizi ndizo zilizomgaribi na watu wameamua kumwonesha kuwa kwa tabia aliyonayo hata huo Ubunge ausahau. Hii inatokana na yeye kuonekana kutumia pesa nyingi kumbe anachotegemea ni kulipwa fadhila na Chama kwa kuteuliwa kuwania kiti cha Ubunge. Hivyo jamaa kunyukwa Bangata ni funzo tosha kwake na kaambiwa huo ni mwanzo tu.

  Viongozi wa ngazi za juu kuanzia Mkoa na hata Taifa wameonesha kumwogopa sana huyu mtu manake walifikishiwa malalamiko ila mpaka Kata inaondoka hawakuchukua hatua zozote ikiwa ni kwa kumwonya hata kwa maneno. Hivyo ni dhahiri kuwa nguvu za pesa zinaendela kudhihirisha namna zinavyotesa vyama vya siasa Nchini.

  Na nguvu hizi zimedhihirishwa na namna ambavyo Chama kiko tayari kupoteza ushindi na si kuwakwaza wale wenye kukisaidia. Yani Sabodo naye angeingia kwenye Siasa hali ingekuwa tete............ Gibson hongera sana
   
 2. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mbona hapo mwishoni unampongeza?
   
 3. C

  Concrete JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mleta mada umetumwa na CCM ili kutaka kuvuruga watu humu JF.
  Bahati mbaya sana tumeshakushtukia mapema.
   
 4. o

  omwami Ta kulinda New Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kakosea sana huyo mshikaji, kwa chama cha watu kama CDM mtu wa namna hii hafai.
   
 5. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ni pongezi ya dharau kwa unafiki wake alioufanya...
   
 6. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Shondola,
  Hiyo kata "Olturoka" ni
  yako ya KUGHUSHI.
  Soma hapa Kata zote zilizo
  orodheshwa:-
  1.Bangata-Arush a
  2.Darajambili-A rusha
  3.Msalato-Dodom a
  4.Mpwapwa-Mpwap wa
  5.Magomeni-Bagamoyo
  6.Lwenzera-Geita
  7.Bugarama-Kahama
  8.Mwawaza-Shiny anga
  9.Vugiri-Korogwe
  10.Tamsta-Lusho to
  11.Makata-Liwale
  12.Mneromiembeni- Nachingwea
  13.Mlangali-Lud ewa
  14.Luwumbu-Make te
  15.Mpepai-Mbinga
  16.Mletele-Song ea
  17.Ipole-Sikong e
  18.Kiloleli-Sikonge
  19.Miyenze-Tabora
  20.Karitu-Nzega
  21.Mpapa-Mbozi
  22.Myovizi-Mbozi
  23.Lubili-Misun gwi
  24.Kilema-Kusini-Moshi
  25.Nanjarou/ Reha- Rombo
  26.Mtibwa-Mvome ro
  27.Mahenge-Ulanga
  28.Likokona-Nanyumbu
  29.Kitangiri-Newala
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli basi huyo mtu ni kirusi ndani ya CDM. Naamini atashughulikiwa soon.
   
 8. b

  blueray JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbona hii taarifa imekaa ki fitna fitna! Fitna ziko CCM na CDM tena! Wakuu mlioko karibu huko ebu chunguzeni mtupe ukweli
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Nov 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Tuhuma zote zilizotolewa na Shondola hazina ukweli wowote, bali ni fitna na uzandiki mtupu.
  Kitu kilichopo ni kwamba aliyepost hii thread ni mmoja wa watu wenye nia ya kugombea ubunge, ama ana support mtu mwenye nia hiyo.
  Wameona katika idadi ya zaidi ya watu ishirini wenye nia Gibson ndiyo tishio kwa wote, sababu anafanya majukumu yake kuwatumikia wananchi kwa vitendo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...