Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbebe Ndg Kamendu amepoteza rasimi udiwani Wake baada ya kufutiwa uwanachama wake na NEC Leo.
Diwani huyo ambaye alidaiwa kufanya ubadhirifu na Ubakaji na Makosa kibao amejikuta katika wakati mgumu baada ya Halimashauri kuu ya CCM taifa kubariki kufutwa uanachama huo.
Diwani huyo ambaye amekuwa akifanya kiburi kingi akiwa analindwa na Mh: Mbunge Kibona.
Kazi ipo kweli kweli.