imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,041
Dhulma gani?!!..Unyunyu tu.Naanza kuamini na wewe ni member wa hili genge linalofanya hii dhulma.Mtaarifu Mambosasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhulma gani?!!..Unyunyu tu.Naanza kuamini na wewe ni member wa hili genge linalofanya hii dhulma.Mtaarifu Mambosasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sime ziko wapi,afu mbona wapo wawili tu,ko wana kigamboni ni mchelemchele kiasi cha kutimuliwa na wa2 wawili 2,afu mbona hiyo ardhi haionekani kama imelimwa(shamba)...leta proof zaid tofaut na hapo hii ni fake news,na ni uchonganishi vilevile.Wamasai waliotumia masime kufurusha wakulima wa mboga mboga baadhi yao hao hapo wakiwa kwenye eneo la tukio View attachment 849196
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni siku mbili baada ya kuwafurumisha wakulima eneo ni kubwa hapo ni upande wa juu mboga mboga zinalimwa upande wa bondeni kwenye maji. Kontena la Dotto Masawani iliwekwa Jumamosi saa tisa jioniSime ziko wapi,afu mbona wapo wawili tu,ko wana kigamboni ni mchelemchele kiasi cha kutimuliwa na wa2 wawili 2,afu mbona hiyo ardhi haionekani kama imelimwa(shamba)...leta proof zaid tofaut na hapo hii ni fake news,na ni uchonganishi vilevile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wamasai wamebaki kwenye eneo Kama walinzi wanalipwa na Dotto MasawaniHapo ni siku mbili baada ya kuwafurumisha wakulima eneo ni kubwa hapo ni upande wa juu mboga mboga zinalimwa upande wa bondeni kwenye maji. Kontena la Dotto Masawani iliwekwa Jumamosi saa tisa jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umeshindwa kuweka picha za kontena na shamba la mbogamboga?!Hao wamasai wamebaki kwenye eneo Kama walinzi wanalipwa na Dotto Masawani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ndio unayoyoma hivyo.
Data gani wakati huu uzi umekaa kisiasa?!
Bangi yote inatokea hapo.Kama mmezoea kudhulumu watu hapa kwa walima mboga mmeingia tundu bovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Majambazi mwaka huu mtapata tabu sana kwenye uporaji wa mali mmedhibitiwa sasa mnapora ardhi, serikali ya awamu ya tano haitawaacha salamaAcheni kutuharibia vijana wetu,acheni kupinga juhudi za mkuu wa mkoa wa Dar za kupiga vita madawa ya kulevya.