Diwani wa CCM atumia jina la Makonda kudhulumu Ardhi

Sime ziko wapi,afu mbona wapo wawili tu,ko wana kigamboni ni mchelemchele kiasi cha kutimuliwa na wa2 wawili 2,afu mbona hiyo ardhi haionekani kama imelimwa(shamba)...leta proof zaid tofaut na hapo hii ni fake news,na ni uchonganishi vilevile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni siku mbili baada ya kuwafurumisha wakulima eneo ni kubwa hapo ni upande wa juu mboga mboga zinalimwa upande wa bondeni kwenye maji. Kontena la Dotto Masawani iliwekwa Jumamosi saa tisa jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana hizi ni "mbinu"za Cuf za kumchafua mkuu wa mkoa..je ni kweli.
 
Hivi siku hizi wakulima wa Bangi pia wamo kwenye grupu la wakulima wa mboga mboga?!
 
downloadfile.jpg

Huu ndio ukulima wa Mbogamboga?!!
 
Acheni kutuharibia vijana wetu,acheni kupinga juhudi za mkuu wa mkoa wa Dar za kupiga vita madawa ya kulevya.
 
Back
Top Bottom