MBURE JASHA
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 200
- 46
Heshima kwa Wana JF, Diwani wa Viti Maalum ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana(UVCCM) Zaina Shahidi wilaya ya Same amekamatwa na magogo pamoja na Mbao aina ya Kenfa ambazo ni nyara ya serikali na Maafisa mali asili Mwanga Kilimanjaro kwa kushirikina na Polisi wa wa Wilaya ya Mwanga.
Sakata hilo lilijiri wiki iliyopita tarehe 25/08/2011. Habari zaidi zinasema kuwa Diwani huyo alipata tenda ya kuuza magogo kwenye kiwanda cha Kilimanjaro Biochem kilichopo Mwanga, Jitihada za kumtoa mahabusu Diwani huyo Maarufu (Mkwe wa Kikwete kwa Riz 0ne)zimegonga mwamba.
Habari zinazidi kumiminika kuwa Diwani huyo kwa kusshirikiana Katibu wa Uchumi na fedha wa CCM Mkoa wa kilimanjaro Bwana Mohamed Karia ndio wanaoongoza mtandao wa wafyeka misitu katika mkoa huu na wanakingiwa kifua na mawaziri David Mathayo na Ezekiel Maige.
Viongozi mbalimbali wa CCM wa wilaya za Same na Moshi walikuwa wakihaha kujaribu kutafuta removal order ili wamtoe gerezani Kiruru.
Mpaka sasa diwani huyo bado yupo gereza la Kiruru akisubiri sikukuu ya Iddi ipite ndo kesi yake iendelee
Heri ni wa CCM, angekuwa ni wa CDM tungesikia ni "ukandamizaji wa ki siasa"
<font size="4"><br />
Heri ni wa CCM, ingekuwa wa CDM saa hizi kishatinga mahakamani. Tangu tarehe 25/8? Kweli kuna njama za kumuondoa ndonaoni.</font>
Katika kipindi cha kupitisha Budget ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Waziri Ezekiel Maige alimsimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya wanyama pori kwa ubadhirifu, hapa inatiashaka kuona Maige anamtetea huyu diwani.Heshima kwa Wana JF, Diwani wa Viti Maalum ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana(UVCCM) Zaina Shahidi wilaya ya Same amekamatwa na magogo pamoja na Mbao aina ya Kenfa ambazo ni nyara ya serikali na Maafisa mali asili Mwanga Kilimanjaro kwa kushirikina na Polisi wa wa Wilaya ya Mwanga.
Sakata hilo lilijiri wiki iliyopita tarehe 25/08/2011. Habari zaidi zinasema kuwa Diwani huyo alipata tenda ya kuuza magogo kwenye kiwanda cha Kilimanjaro Biochem kilichopo Mwanga, Jitihada za kumtoa mahabusu Diwani huyo Maarufu (Mkwe wa Kikwete kwa Riz 0ne)zimegonga mwamba.
Habari zinazidi kumiminika kuwa Diwani huyo kwa kusshirikiana Katibu wa Uchumi na fedha wa CCM Mkoa wa kilimanjaro Bwana Mohamed Karia ndio wanaoongoza mtandao wa wafyeka misitu katika mkoa huu na wanakingiwa kifua na mawaziri David Mathayo na Ezekiel Maige.
Viongozi mbalimbali wa CCM wa wilaya za Same na Moshi walikuwa wakihaha kujaribu kutafuta removal order ili wamtoe gerezani Kiruru.
Mpaka sasa diwani huyo bado yupo gereza la Kiruru akisubiri sikukuu ya Iddi ipite ndo kesi yake iendelee
kumbe kuna viti maalum kwenye udiwani?
wanapatikana vip?. Wanagawana jasho letu wao na familia zao. Nasikia kigezo cha ubunge vit maalum ni kujuana na wakubwa kwenye chama+sirikal,
Ndio kusema Riz1 anamgonga au?!