Diwani wa Arusha na matokeo ya Uchaguzi

Diwani wa Arusha na matokeo ya Uchaguzi

KirilOriginal

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2012
Posts
2,161
Reaction score
1,147
JF
Baada ya CHADEMA kuibwaga ccm nini hatma ya Meya wa Arusha?
Baadhi ya watu wanahisi kwamba kutokana na fedha ambazo JK ameagiza
Lyatonga apewe kama mafao ya unaibu waziri mkuu je yaweza kuwa chambo kwa diwani wake Arusha kuipa suport
Ccm kwenye umeya?
 
Kwanza kumbukeni kuna kata moja ya cdm ambayo imeongezeka kuacha hiz nne kta ya daraja ii.
 
Bado itakula kwao maana tuna madiwani 6 wa CCM wamemchoka Meya.Haisaidii.Wanataka uchaguzi wa Meya uwe hata leo.Watch this space

Mkuu nafikiri hali itakuwa kam ifuatavyo.

CCM ina madiwani wanane wa kata, madiwani wa Viti Maalumu watatu na wabunge watatu ambapo jumla yao ni 14.
CHADEMA wenyewe wana madiwani watano wa kata, viti maalumu watatu na wabunge watatu, ambapo jumla yao ni 11.
Kama CHADEMA itafanikiwa kurejesha kata zake nne, itakuwa na madiwani wa kata tisa, wabunge watatu na madiwani wa viti maalumu watatu, hivyo kufanya idadi yao kuwa 15, hivyo kuwazidi CCM kwa diwani mmoja.

Idadi hiyo itawafanya wawe na uwezo wa kuongoza halmashauri hiyo na kutoa meya wa jiji hilo, kwani wakiingia kwenye baraza la madiwani wanaweza kumng'oa wa CCM na kumchagua wa kutoka chama chao.

CCM wanaweza kulingana na CHADEMA kama watafanikiwa kumshawishi Diwani wa TLP, Michael Kivuyo, kuwaunga mkono kwenye kura za umeya, hivyo pande hizo kila moja kuwa na madiwani 15.

Kama hali itakuwa hivyo, pande hizo mbili zitalazimika kukaa kwenye meza ya mazungumzo kukubaliana utaratibu wa kuongoza halmashauri ya jiji kwa kupokezana kwa kipindi fulani

Kumbe ndio maana walihakikisha kata ya kamanda mawazo hawafanyi uchaguzi?
 
CHADEMA na CCM ugomvi wao mkubwa kwa Jiji la Arusha ni kuongoza halmashauri hiyo na kutoa meya,

CCM ina madiwani wanane wa kata, madiwani wa Viti Maalumu watatu na wabunge watatu ambapo jumla yao ni 14.
CHADEMA wenyewe wana madiwani watano wa kata, viti maalumu watatu na wabunge watatu, ambapo jumla yao ni 11.

Kama CHADEMA itafanikiwa kurejesha kata zake nne, itakuwa na madiwani wa kata tisa, wabunge watatu na madiwani wa viti maalumu watatu, hivyo kufanya idadi yao kuwa 15, hivyo kuwazidi CCM kwa diwani mmoja.

Idadi hiyo itawafanya wawe na uwezo wa kuongoza halmashauri hiyo na kutoa meya wa jiji hilo, kwani wakiingia kwenye baraza la madiwani wanaweza kumng’oa wa CCM na kumchagua wa kutoka chama chao.

CCM wanaweza kulingana na CHADEMA kama watafanikiwa kumshawishi Diwani wa TLP, Michael Kivuyo, kuwaunga mkono kwenye kura za umeya, hivyo pande hizo kila moja kuwa na madiwani 15.

Kama hali itakuwa hivyo, pande hizo mbili zitalazimika kukaa kwenye meza ya mazungumzo kukubaliana utaratibu wa kuongoza halmashauri ya jiji kwa kupokezana kwa kipindi fulani.

Wachambuzi wa masuala ya siasa wamelidokeza Tanzania Daima kuwa uchaguzi wa kesho kutwa utakuwa mgumu zaidi kuliko ilivyowahi kutokea huko nyuma.

Tayari kuna taarifa kuwa idadi kubwa ya viongozi wa CCM wamepiga kambi mkoani humo kuhakikisha wanapata walau kata moja au mbili ili kuendelea kuiongoza halmashauri ya jiji hilo ambalo ni kivutio kikubwa cha utalii.
 
Bado itakula kwao maana tuna madiwani 6 wa CCM wamemchoka Meya.Haisaidii.Wanataka uchaguzi wa Meya uwe hata leo.Watch this space

Ben Saanane read my lips brother uchaguzi wa Meya hautafanyika na wakilazimishwa sana itakuwa mwakani mwezi wa 7,!!
 
kwa wale wananofikilia swala la umea wa arusha.fuatilia hapa.....

CCM ina madiwani wanane wa kata, madiwani wa Viti Maalumu watatu na wabunge watatu ambapo jumla yao ni 14.
CHADEMA wenyewe wana madiwani watano wa kata, viti maalumu watatu na wabunge watatu, ambapo jumla yao ni 11.
Kama CHADEMA itafanikiwa kurejesha kata zake nne, itakuwa na madiwani wa kata tisa, wabunge watatu na madiwani wa viti maalumu watatu, hivyo kufanya idadi yao kuwa 15, hivyo kuwazidi CCM kwa diwani mmoja.

Idadi hiyo itawafanya wawe na uwezo wa kuongoza halmashauri hiyo na kutoa meya wa jiji hilo, kwani wakiingia kwenye baraza la madiwani wanaweza kumng’oa wa CCM na kumchagua wa kutoka chama chao.

CCM wanaweza kulingana na CHADEMA kama watafanikiwa kumshawishi Diwani wa TLP, Michael Kivuyo, kuwaunga mkono kwenye kura za umeya, hivyo pande hizo kila moja kuwa na madiwani 15
 
Ben Saanane read my lips brother uchaguzi wa Meya hautafanyika na wakilazimishwa sana itakuwa mwakani mwezi wa 7,!!

Nafikiri hiyo ni plan B iliobaki hata hivyo Chadema wao ndiyo wanaweza kupiga kura ya kutokuwa na Imani na mea ili uchaguzi ufanike wa mea sasa hapo ndipo kivumbi kitakapo kuwa
 
Kimsngi uchaguzi wa Meya ukifanyika leo Arusha Gaudence Lyimo hawezi kupata kura 7. Madiwani wote kwa ujumla (wa CCM, CHADEMA na TLP) wanajua kuwa maovu yaliyofanyika Ar ikiwepo kumwaga damu za watu ni kwa lengo binafsi la Gaudence Lyimo na mafisadi wachache wanaofaidi jiji hilo.
 
Back
Top Bottom