Diwani wa Arusha na matokeo ya Uchaguzi

Diwani wa Arusha na matokeo ya Uchaguzi

Kimsngi uchaguzi wa Meya ukifanyika leo Arusha Gaudence Lyimo hawezi kupata kura 7. Madiwani wote kwa ujumla (wa CCM, CHADEMA na TLP) wanajua kuwa maovu yaliyofanyika Ar ikiwepo kumwaga damu za watu ni kwa lengo binafsi la Gaudence Lyimo na mafisadi wachache wanaofaidi jiji hilo.
Mkuu una hakika hao madiwani wengine wanaweza ku-absorb external pressure!?
 
Kimsngi uchaguzi wa Meya ukifanyika leo Arusha Gaudence Lyimo hawezi kupata kura 7. Madiwani wote kwa ujumla (wa CCM, CHADEMA na TLP) wanajua kuwa maovu yaliyofanyika Ar ikiwepo kumwaga damu za watu ni kwa lengo binafsi la Gaudence Lyimo na mafisadi wachache wanaofaidi jiji hilo.

Kimsingi wazo lolote la kupokezana madaraka kwa kuwa walishajipa umeya kwa nguvu.Bravo makamanda.
 
Ile nafasi ya viti Maalum ya yule Diwani Rehema, imeshapata Mrithi?
Na hao wabunge wa3 wa CCM na CDM kwa Arusha mjini, wanatoka wapi?
 
Bado itakula kwao maana tuna madiwani 6 wa CCM wamemchoka Meya.Haisaidii.Wanataka uchaguzi wa Meya uwe hata leo.Watch this space

Haha ..kamanda ndio maana CCM wanakuchukia sana.Kila wakikurupuka hukosi kirungu cha kuwapiga utosini n akuwarudisha chini.

Wajiandae tuu kuusikiliza mziki utakaoongozwa na Lema kuwataka waeleze wizi wa hela za Arusha....CCM lazima wawe broke sana kabla ya uchaguzi ujao.JK atakimbia sana duniani ii apate hela za kuja jiokoa asitupwe mahakamani.

Haha na wakigusa hela za kuokoteza hazina wafanyakazi watapigika hadi wajiapize CCM kuondoka.
 
Ahhhhh wacha we popoooooz pawaaa, chadomoz leo watakesha na viroba kama kawaida yao
 
Yule Lukosi wa UK Yuko wapi Leo?. Au anakunywa KINANA Lager Kule Thached House maana bao 4-0 za Arusha sio mchezo tena wamechezewa half ground haaa haaa haaaaaaaaaaaa
 
Yule Lukosi wa UK Yuko wapi Leo?. Au anakunywa KINANA Lager Kule Thached House maana bao 4-0 za Arusha sio mchezo tena wamechezewa half ground haaa haaa haaaaaaaaaaaa

Hivi Kinana yupo kweli? Maana naona nembo yake tu kwenye chupa yeye mwenyewe simuoni
 
Back
Top Bottom