si ilishafunguliwa?
Perception mbaya kabisa ya Ukubwa!
Mi nilijua kuwa ukubwa ni utumishi kwa watu!
Sasa anategemea jirani zake watapita wapi, kama si unyama huu?
Mambo yakiwa magumu nguvu ya UMMA itumike...Haiwezekani mtu mmoja atese watu 300.
huu si mkono wa kushoto?....wapi mapete ya ndoa na uchumba?...wapi mumewe?ound:ound:ound:
Hii inaonyesha kuwa SPIKA wenu ni Mbumbumbu wa Sheria.
Hivi kweli hajui kuwa kuna sheria za Ardhi zinazotawala? Je hajui kuwa kuna mamlaka za mitaa.
Kwa kila hali lazima DIWANA ashinde kwani kama DC atashindwa kutatua mgogoro huo basi wnanchi wakiongozwa na Diwani wao wana haki kamili za kupeleka shauru hili mahakamani kupinga kufungwa kwa barabara.
makinda acha ubabe.
hicho kibibi hakina ubabe wala nini, yote haya ni kuendekeza mafisadi ya ccm tu, na mahakamani waende kufanya nni? na huo muda wa kupoteza mahakamni wanao kweli? dawa itisha nguvu ya umma, piga kiberiti hicho kibanda cha kibibi gula!
kwisha habari
Anaona hata aibu.......
diwani kishashinda kwa kuwa anazo support za wananchi na mimi nikiwamo!!
nchi yetu haiishi vituko, sita alipopata uspika tu tukasikia bili ya matibabu yake ikwa around tshs. 1 or 2m kwa wiki (sikumbuki vizuri), mara tukasikia kajenga ofisi ya spika jimboni kwake urambo utadhani urambo ndiyo jimbo litakalokuwa likitoa maspika wa tz milele,
sasa leo mtu mmoja kafunga barabara ili kupanua kiwanja chake!, mara eti sababu za kuisalama. osama bin laden (samahani kwa mfano huu ila nataka tu nieleweke vizuri) ndiye aliyekuwa akihitaji usalama mkubwa zaidi ya spika wa tz lakini nyumba aliyokuwa akiishi tuliona kwenye tv ikiwa na barabara kando yake!
inaonekana watz wakipata madaraka fulani tu hupata ugonjwa fulani kwa ghafla!!
yetu macho, ila for sure, nguvu ya umma itashind!
Kama ni kwa ajili ya ujenzi tu na kwa muda fulani tu, ni haki yake kupewa kibali cha kufunga huo mtaa kwa muda. Hususan ukiwa mtaa wenyewe sio barabara kuu. Tumeona Kariakoo kila siku mitaa ikifungwa kwa ajili ya ujenzi kwa muda na baadae hufunguliwa.
Sioni mantiki ya diwani asemapo kafunga mtaa ili aongeze kiwanja, huo ni ushabiki na si uongozi.
Ikiwa kweli anaufunga kabisa huo mtaa kwa kuongeza kiwanja na huo mtaa upo kwenye mipango miji na ndio anaufunga kwa kuubadilisha matumizi kutoka mtaa kuwa kiwanja. Hapo ni kosa lakini sidhani kama ni hivyo.
akafunge kule TARIME aone muraa watamfanya nini?Kama ni kwa ajili ya ujenzi tu na kwa muda fulani tu, ni haki yake kupewa kibali cha kufunga huo mtaa kwa muda. Hususan ukiwa mtaa wenyewe sio barabara kuu. Tumeona Kariakoo kila siku mitaa ikifungwa kwa ajili ya ujenzi kwa muda na baadae hufunguliwa.
Sioni mantiki ya diwani asemapo kafunga mtaa ili aongeze kiwanja, huo ni ushabiki na si uongozi.
Ikiwa kweli anaufunga kabisa huo mtaa kwa kuongeza kiwanja na huo mtaa upo kwenye mipango miji na ndio anaufunga kwa kuubadilisha matumizi kutoka mtaa kuwa kiwanja. Hapo ni kosa lakini sidhani kama ni hivyo.
mnamfatafata bibi kwa sababu:
1. yeye ni mwanamke
2. mnamwonea wivu wa cheo chake
3. anajua vifungu vya shelia ninyi hamjui
Sasa atawaonesha kwamba hammuwezi ndani na nje ya bunge!
wewe unasumbuliwa na UTOKO!