Diwani ringo(kimara) kafisadi kalichobobea

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,027
Diwani wa kata ya kimara mh ringo tunakuomba na hii ni mara ya mwisho kukuonya ukome kutunyanyasa wananchi wako ukishirikiana na mwenyekiti wa serikali za mitaa mtenga,,,

waziri tunaomba umchunulie huyu bwana amekuwa akinyanganya viwanja vya watu kwa kutumia madaraka yake na pia ameanzisha kampuni yake ya kuzoa uchafu ,,,analazimisha watu walipe kila nyumba kamweka mnyakyusa ili isijuliakane ...kwenye usajili kuna jina la mwanae,,,tumeapa hatutotoa hela ata uende kiraracha msee

ati usipotoa anakupeleka mahakamani ujalipa huu ni uharamia mimi nina pipa langu na kila wiki napeleka mjini mwenyewe kungur madoa we diwani ringo kama ni wizi waibieni hao hao chichiemu chi wananchi,,,,na huu chini upumbavu wa mwenzanko nawewe lazima uwatokee puani








jamani nin huzuni yangu kubwa kuandika hapa kwa haya mambo amabyo chichiemu imekuwa ikiendelea kuyafanya kwa wanannchi bila kuangalia uwiano wa na madhara yake!!!iweje kila chehemu chichioemu wanatuibia wananchi jamani jamani!!!!!

Hivi karibuni kumekuwa na zoezi la kwenda kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa kuangalia ramani ya nyumba yako kama ipo kwenye system
ni huzuni yangu kubwa huyu bwana aliamua kufanya dili wakati ni haki ya mtanzania kwenda kuangalia ramani yake ....huyu bwana kwa kushirikiana na mafisadi wenzake diwani ringo hawakuwa na aibu kuaibia watanzania...kila ambae amekwenda pale alitakiwa alipe shillingi za tanzania 2000/=.kuna ambao wamekosa kwenda kwasababu ya uwezo wao..na katika kuwauliza naombeni risiti walisema tunakurudishia ukalipe 10,000 pale wizarani..kidogo haikuniingia...nikalalamika sana kumbe katika sisi wajambanani
kuna ambao wanakuja hawajui la wala lile wanalipishwa 10,000

mze mtenga kama unasoma huu huanithi na dhambi hii aitakuacha na familia yako kuwanyima watu wakimara haki zao...
Huyu mzee alimweka mwanae ndie anakuonyesha na unalipa kwake hela ila kwenye kuonyeshwa wanashirikiana na baadhi wa tu wanajiit a wa wizarani...

.yesuuuuuuuuuuuuu tuokeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee jamaniii


waliokuja kichwa kichwa na ambao hawajui namba za nyumba zao wanalipishwa 10000 hili swala tunaomba waziri mhusika ufwatilie je ni haki mtoto wa m.kiti serikali za mitaa kupokea pesa za serikali na bila kutoa stakabadhi

mzee wetu utouh tunaomba utsaidie hapa na kama utaitaji msaada ni pm
ntakumwagia kila kitu
 
Back
Top Bottom