Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
aidha sijakuelewamahusiano binafsi ya kingono......
Sioni mahusiano yoyote ya kimkakati na kisera hapo!!
duh ! hii kali sijawahi sikiaCCeM wanaweza kumnunua mke na kula njama. Mbona nimewah kusikia hata muasisi wa taifa hili aliwah patwa na mkasa ambao unaonesha mkolon alimmunua mama M...? Tekniks hizo who knws?
Inaashiria kuwa hakukuwa na maelewano katika mahusiano yaoDiwani kupitia CHADEMA (Morogoro) amechomwa na kisu na mpenzi wake ambaye pia ni kiongozi wa CHADEMA Diwani kalazwa hospitalini na Mshikji wake kakimbia !!
My take:
Hii inaashiria nini ?
SOURCE magazeti ya leo
hivi ni wote au ni tabia ya mtu tuHiyo ni ishara tosha kuwa viongozi wa CDM ni wakorofi, wasio na uvumilivu na vinara wa fujo
Kutoka kwenye hiyo taarifa yako mkuu hao ni wanamahusiano ya kimahaba....aidha sijakuelewa
hawa ni viongozi they are model in the society
Yaani wewe hujui kwamba hiyo inaashiria Ulegelege wa Jeshi la polisi. Mtu anaweza kuua na kukimbia asipatikane tena ni msichana tu! Je unategemea watawezaje kuwakamata watu kama akina Chenge walioiibia nchi na kuficha hela nje?
childish!diwani kupitia chadema (morogoro) amechomwa na kisu na mpenzi wake ambaye pia ni kiongozi wa chadema diwani kalazwa hospitalini na mshikji wake kakimbia !!
My take:
Hii inaashiria nini ?
Source magazeti ya leo