nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Jana niliona kwenye yahoo video moja ya kuchekesha na kusikitisha. Kuna katoto ka miaka saba kameiba gari ya baba yake wa kambo na kuanza kuendesha kwa speed ya ajabu huko US. Jamaa mmoja amekutana nae barabarani si ndio kapiga simu polisi. Polisi wakaanza kumfukuza na yeye ndio akazidi kukanyaga mafuta. wakaamua ku overtake ndio mtoto kakanyaga break ila polisi wanasema waliisi lazima mtoto atapata ajali mbaya sana. Walifungua mlango wa gari wakamkuta mtoto macho yamevimba analia. Kumuuliza kulikoni akawaambia alikuwa anaenda kwa biological father wake kwani hajamuona siku nyingi na amemiss sana. Kwa hiyo akaamua kuiba gari ya baba yake wa kambo. Sasa sijuhi alikuwa anajua adress ya anakokwenda au aliamua tu mbele kwa mbele.
Kwa kweli inasikitisha sana. Yeyote anayekuwa chanzo cha maugomvi ndani ya nyumba iwe cheating or what na kupelekea divorce kwa kweli ni mtu ambaye naweza sema hana upendo na watoto. Watoto wao hawajuhi kinachowatenganisha na hawaelewi kabisa kwa nini mama, baba hataki kuishi na mimi tena? Kwa nini nimepewa baba/mama mpya? Real sad! Separating a kid from his or her dad. Ila tunakoelekea watoto wengi wataishi haya maisha na yatawa affect kisaikolojia. Akienda kwa baba hakubaliki (mama kambo) akinenda kwa mama hakubaliki (baba kambo) Kazi kweli kweli.
mafahari wawili wagombanapo ziumiazo ni.............???????
Ukishapata watoto inatakiwa kuacha ubinafsi.
lakini mada za humu ndani za mara anakibamia nachepuka mara oooh mke wangu anipi mechi vizuri nachepuka.mwisho wa siku ni kufumaniana na kupeaba talaka.
Kwa kweli inasikitisha sana. Yeyote anayekuwa chanzo cha maugomvi ndani ya nyumba iwe cheating or what na kupelekea divorce kwa kweli ni mtu ambaye naweza sema hana upendo na watoto. Watoto wao hawajuhi kinachowatenganisha na hawaelewi kabisa kwa nini mama, baba hataki kuishi na mimi tena? Kwa nini nimepewa baba/mama mpya? Real sad! Separating a kid from his or her dad. Ila tunakoelekea watoto wengi wataishi haya maisha na yatawa affect kisaikolojia. Akienda kwa baba hakubaliki (mama kambo) akinenda kwa mama hakubaliki (baba kambo) Kazi kweli kweli.
Na akiwa mkubwa anapata unyonge wa kuwa na mdogo wake baba mmoja au mama mmoja, hiki ninachokisema kwa wahanga wa hili wananielewa kabisa
So do II hate divorce!!!!