hoja yako ni ipii mkuu ? serekali ya ccm au kuandamana??Kina tundu lissu wakiwaambia muandamane kupinga udi. Kteta mnajifanya hamna shida na serkali ya ccm
Mi nasema waongeze tu ikibidi kujiunga na chuo iwe wenye one tu
Ili akili ziwakae sawa
Nidhamu ya uoga pia inachangia pamoja na uwepo wa wawansheria ila wahusika wenyew nafikiri wangekuw wakwanza kudoubtni kweli, ila washeria wanatuangusha.. je wapo wapi?
Hoja yangu waongeze cut off point za kujiunga na chuo, iwe one tuhoja yako ni ipii mkuu ? serekali ya ccm au kuandamana??
Kina tundu lissu wakiwaambia muandamane kupinga udi. Kteta mnajifanya hamna shida na serkali ya ccm
Mi nasema waongeze tu ikibidi kujiunga na chuo iwe wenye one tu
Ili akili ziwakae sawa
ni kweli, ila washeria wanatuangusha.. je wapo wapi?
Ukilalamika eti E sawa na C ya BRN.Kwani akuna taasisi kama hakielimu kulizungumzis hili .Maana zote ni sawa izo sio sababu za kukataa E kutokana ina thamani ya moja na c ikawa na 2 . bodi ailioni hili
jifunze adabu mjin B ya brn c kitu kwa tokeo la 2016 kama upo chuo shukuru mungu bata wwUkilalamika eti E sawa na C ya BRN.
Eti watolewe wenye CC za BRN.
Nasisi wa BRN wenye BBB ambayo ilikua Dvs2 ya 9 tutalalamika vyeti vyetu vibadrshwe ziwe na Dvs1 ya6.
Si ndo apo Yan watu wanajiona wanajuuuuajifunze adabu mjin B ya brn c kitu kwa tokeo la 2016 kama upo chuo shukuru mungu bata ww
jifunze adabu mjin B ya brn c kitu kwa tokeo la 2016 kama upo chuo shukuru mungu bata ww
uyu nyau anajielewa kweli B ya BRN usilinganishe na C ya 2016 advance, tutakuvuruga ili ilo jinamizi la BRN likutoke uelewe hoja zetu zenye mashiko..Ukilalamika eti E sawa na C ya BRN.
Eti watolewe wenye CC za BRN.
Nasisi wa BRN wenye BBB ambayo ilikua Dvs2 ya 9 tutalalamika vyeti vyetu vibadrshwe ziwe na Dvs1 ya6.
uyu nyau anajielewa kweli B ya BRN usilinganishe na C ya 2016 advance, tutakuvuruga ili ilo jinamizi la BRN likutoke uelewe hoja zetu zenye mashiko..