Division 4 point 26,27 kwenda ADVANCE

Division 4 point 26,27 kwenda ADVANCE

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
Wakubwa natumai mko cool. Kuna dogo mmoja kaniambie leo asubuhi post za suggestions za shule zimetoka.Cha ajabu waliopiga 4 ya 26,27 wamechaguliwa. Wana jf kuna ukweli juu ya hili?
 
wakubwa natumai mko cool. Kuna dogo mmoja kaniambie leo asubuhi post za suggestions za shule zimetoka.cha ajabu waliopiga 4 ya 26,27 wamechaguliwa. Wana jf kuna ukweli juu ya hili?

hakuna kitu kama hiyo asilani tena mwambie kuwa form 6 madaraja yanapanda
 
kama kweli hili jambo liko hiv, hii nchi inaelekea kubaya sana na usishangae baada ya miaka kadhaa ijayo tukawa na wajinga 70% na wakolon inabid warud rasm japo kwa sasa wapo kiaina
 
DAAH kama ni hivyo serikali inaundwa na vizibo ndo maana clashes haziishi bungeni kutokana na na mafisadi wanaokosolewa kila siku kutokana na utekelezaji mbovu wa miundombinu point ni kuwa watabadilka lini. BIG UP CHADEMA
 
Mkuu wizara naskia imeshuhsa viwango sa hv advance wanachukua Credit 2 na D 3 tofauti na hapo zaman walikuwa wanachukua credit 3 tu.

Ila hii ishu inachanganya maana wengine tulipata div3 lakin tukapangiwa shule za kipwagu mpaka tukaamua kujisomesha tu private.
 
Kufelisha ni ccm political techniques ili kuwa na uwezo wa kutoa mikopo yenye tja kwa kila atakaye pata chuo kuelekea uchaguz 2015,liwe la kusemea.
 
Kama ambao waliokuwa hawajui kusoma wala kuandika dasrasa la saba walichaguliwa kuingia form one wala haitakuwa ajabu kama hata wenye point 28 wakachaguliwa form five

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Taifa linahitaji msaada mkubwa
 
Wakubwa natumai mko cool. Kuna dogo mmoja kaniambie leo asubuhi post za suggestions za shule zimetoka.Cha ajabu waliopiga 4 ya 26,27 wamechaguliwa. Wana jf kuna ukweli juu ya hili?

NI TRUE mtoto wa ndugu yangu kachaguliwa St John's university Diploma in Business Administration nikashangaa sanaa, mi cjui tunaelekea wapi.
 
Kutokana na uamuzi wa Baraza la Mawaziri matokeo yanafutwa na kutolewa upya kwa hiyo hata wenye zero wataenda sekondari muwe na amani vijana serikali sikivu imesikia kilio watatoa matokeo mapya kila mtu afurahi na kuanzia sasa hakuna tena kumpa mtu sifuri. Shukuru tunakushukuru sana
 
duuu elimu hiyo inachezewa kama mpira wa makaratasi jangwani...bola bana
 
Daah safi mungu ameyasikia maombi ya waliofeli
 
Wakubwa natumai mko cool. Kuna dogo mmoja kaniambie leo asubuhi post za suggestions za shule zimetoka.Cha ajabu waliopiga 4 ya 26,27 wamechaguliwa. Wana jf kuna ukweli juu ya hili?
hiki kitu hakuna na kama kipo basi elimu ya tz ndo inakufa!!! div four uende advance?? serious???
 
taifa lilipoteza muelekeo zaidi ya miaka mitano iliyopita ....
tulishazisoma alama za nyakati siku nyingi sana
 
Na Mimi Nina 4 ya 26 ila Nina c tatu ya kiswahili, English na History, je naweza kupata advance schools?? na kama ipo shule gani ??
 
Back
Top Bottom