"Divine Rule Rights and Despotic Rule" in Europe

Villarreal 1

Member
Dec 21, 2020
12
20
Kuanzia Karne ya 16 , 17 nakuendelea palitokea Wimbi la kutaka Mabadiliko na kupinga Utawala wa Kifalume, Ulioamini kwamba Watawala na Wafalume Ni Mungu Watu. Hivyo Wenzetu Hawa Wakaandamana ka kupinga kwa Vitendo Umungu Watu Huu.

Walifanya Mapinduzi Mfano , waingereza walifanya , English Civil War, 1640's, hapa King Charles 1 Aliondolewa Madarakani na Akaingia Oliver Cromwell , Alivyokufa Huyu Lord protector Mengi Yalitokea lakini badae Bado democracia haikuzaliwa kwani Baada ya kufa Oliver Cromwell Alikuja Tena Mfalume Mwingne ambaye Hakufuata Misingi Bora ya Utawala Bora King James 2, l Huyu alirudisha Utawala ule wa Kimungu. Waingereza Wakampinga kwa " Glorious Revolution"

Kuanzia hapo Mapinduzi yalisambaa Ufaransa n.k, Hadi Ulaya nzima ikaingia kwenye Mawimbi ya kutaka Utawala Wa Watu. ( Against Absoluntism and Divine Rule Rights of the King and Queens).

Matokeo yake Baada ya hapo Dunia Nzima ikapambana kutaka Utawala Wa Watu
Wamerekani Nao Hawakuachwa nyuma Wakapambana na kutaka Taifa lao lenye Misingi ya Utu na Watu ndio Wawe Watawala.
Ndipo Pale Raisi wa 16 Wa Marekani Akaandika Government of the people , for the people by the people" Abraham lincolin.
Mifano Ni Mingi Sana.

Democracia Ni Ustarabu Wa Watu na Misingi ya Utu.

Swali: sisi Waafrica kwanini Hatupendi kufuata Misingi ya Democracia?
Africa Watawala Wanaishi Kama Wao Ni Mungu Watu, Wanaishi Kama Vile Hawatakufa na Kama vile Wao Wanaongoza kwa Mwongozo Wa Mungu,
Ukitaka Uonekana Msaliti Africa dai Katiba Mpya. Tunakwama Wapi.
 
Hata wapinzani hawana utayari wakuwa wapinzani unakuta Chama kinamwenyekiti wakudumu Nani atawaamini kama wenyewe hawaaminiani ukisema katiba mpya wanasiasa wengi wanaongelea tume huru Mala zote kwavile ndo wanacho waza wachumia tumbo Leo hii chukuwa maoni mitaaani kuhusu katiba mpya uwone kama utapata watu wakawaida kukuunga mkono tofauti na wale wenye mihemko ya siasa na vyama
 
Back
Top Bottom