Divide and rule?

Great thinker not tinker, we muhima.
we ukabila ushakuacha nyang'anyng'a! kama bosi wenu Nyamitwe anayetumia fake names kueneza ukabila! kiongozi mzima, unabaguwa wananchi wako? duh! anyway, kwa kuwafahamisha tu wanajamii... Nyamitwe means TAPELI! hence... tweet using fake names!





Masunga Maziku unaonaje tukamuita yule mama Victoire aliyejitoa kafara kule Burundi, atutafsilie! lakini kama unavyomjua, asitie maoni yake! atafsilie wanajamvi hayo maandishi tu!
 
Your accusation is a false one!! To start with, I don't subscribe to the idea of interfering with internal affairs of any country. However, this does not mean that I should be indifferent when basic human rights are being violated and people are being killed just for the reason of opposing the government in the public. Just as Martin Luther King once said, Injustice anywhere is a threat to justice everywhere. whenever Human rights are being violated by any government in the world no matter what, other people have a moral responsibility to stand up against such a government. i don't understand whether you are agree with the way people are being killed without reasons. Burundi is one of the place where Human dignity is at stake we should strongly oppose any government which suppress its citizens for being against it.
You are talking about the ruling of the court which was not independent, We cannot pretend to deny the fact that the court was politically divide, the court lacked the integrity and independence it should have. Why do not you talk about the chief Justice who ran away if the decision was not politically motivated. You don't need to be naive about that fact.The whole saga in Burundi is motivated by greedy to remain in power unconstitutionally.
Whatever you said about Burundi, I don't know if you got convincing evidence or it is merely a conspiracy theory. In fact, I consider it to be a blame game because Nkurunzinza does not agree with the fact that he is solely cause of whatever is happening in Burundi. To try to involve Kagame in his own mistake is to run away from his own responsibility. He should be responsible whatever is happening in such beautiful country.
I am strongly disagree with you when you said that everyone want business to continue as usual. There are many people in Burundi who don't want Nkurunzinza to continue to be a president. I think they have a good point and a case to make against the illegitimate government of Nkurunzinza
 
il faut la vérité que la vérité!Hao wanaojiita Sindumuja eti wao sio watumishi(servants)hao ndo watusti adui mkubwa wa Amani yetu Burundi.Yaani tokea miaka na miaka wapo madarakani mbona sisi hatukusema kuwa ni Sindumuja?Pierre ndo Raisi wa Burundi yotehaijalishi wewe tutsi ama hutu.
 
thank you very very much Madam Victoire STAGE number five(5)... DEHUMANISATION ... you guys have got to admit! Genocide is in the making in Burundi... especially when such thing comes from a senior leader "TAPELI" vyuma
 
thank you very very much Madam Victoire STAGE number five(5)... DEHUMANISATION ... you guys have got to admit! Genocide is in the making in Burundi... especially when such thing comes from a senior leader "TAPELI" vyuma
Mkuu, huo utapeli wenu utawatoka siku si nyingi. Kwanza unadanganya hadharani kwamba NYAMITWE maana yake ni TAPELI, duh ! Umezidi sasa. Kwa taarifa yako, leo barozi wa Tanzania nchini Burundi akizungumza wilayani kasulu wakati akikabidhi madawati, amesema hivi, Burundi amani imejaa, hakuna tatizo lolote kwa hiyo wawekezaji kutoka Tanzania waende wakawekeze Burundi kwa maana yanayozungumzwa na kuandikwa kuhusu Burundi na viongozi wake ni uzushi tu. Kama ni masuala ya watu kuuawa, watu wanakufa kila mahali. Hakuna nchi yoyote duniani inayokosa wendawazimu. Kwa Rwanda wendawazimu ni paka, wewe na murutongore mkisaidiwa na wahuni wenzenu kuua raia wasiokuwa na hatia. Kwa mfano, Tanzania kwa sasa kuna mauaji ya kihuni yanayofanywa na wahuni kama wewe, je, nako hakuna amani? Mwanza watu wamechinjwa kama kuku, Tanga watu wamechinjwa kama mbuzi, Dar, mlipo wewe na murutongore watu wanachinjwa na kuchomewa ndani ya nyumba zao, does it justify hakuna amani Tanzania ? Marekani watu wanauwawa hovyo, amani haipo? Wacha nikuambie, kelele zote mnazopiga, ni ukabila tu. Watusi mnajiona mmezaliwa kutawala,hata mkishindwa kwenye sanduku la kura mnatafuta namna ya kupindua. Kinachomponza nkurunziza ni kabila lake tu hamna kingine. Sasa sikiliza, mtapiga kelele sana, nkurunziza atamaliza muda wake wa uongozi na 2020 uchaguzi upo, nendeni mkamchague mtusi mwenzenu. Mwambie Buyoya, mwambie sinduhije, zama za kupindukia ikulu kwa kupitia dirishani HAZIPO, zashilaga!
 
ehehehh... samahani kukugusa pabaya! haya tupe basi maana ya Nyamitwe! nyie ni zaidi ya MATAPELI! nyie ni MAGAIDI! mnawagawa wananchi wenu, hiyo mifano ya kijinga inahusiana vipi na viongozi wenu wanao rudia yaliyofanywa na Radio-RTLM ya kina jMali ? we hovyo kweli!
 
Wacha nikuulize, kati ya wewe karushavumbi, genocidere na barozi wa Tanzania nchini Burundi aaminiwe nani ? Barozi anasema Burundi ni shwari, wewe muhima unasema Burundi kuna mauaji tumuamini nani ? Basi itangazie dunia kuwa Tanzania kuna mauaji ya kimbari maana ndani ya mwezi ulioisha wa tano wameuawa zaidi ya raia 25. Huna lolote brother, ukabila tu ndio unawanyong'onyesha, madaraka mnayo lakini hamnenepi. Hizo ni hila zinawakaba koo, na kuanzia sasa mtavaa mabulletproof hadi vitandani.
 
Mkuu, you are wasting your time and energy debating with this guy. He is just saying what he himself doesn't believe but impessing his masters.
 
Thanks, I got you.
lol... what have you got? Nothing!!! kwani umeona kakupa tafsiri? inatisha! ndio maana anazuga kwa kifupi TAPELI ambaye ndio kama anayendesha nchi... akili zake zinamwambia eti kabila fulani miongoni mwa wananchi wake eti ni PUBLIC ENEMY number one! can you imagine? kabila lote yani... ah nimesahau we mwenyewe kwanza mapepe alafu napoteza mda wangu kukufafanulia vitu usivyotaka kuelewa!
 
Yaani wewe jamaa huwa unanichekesha sana. Mimi nimekuwa mapepe tena!
unacheka nini sasa? we ni mapepe tena sana! mara ngapi hapa unajifanya kutaka kuelewa, unaeleweshwa tena na vigezo nakupa vyote huku ukijifanya umeelewa... kinachonishangaza ni pale kina jMali na rafiki yake IMBONERAKURE vyuma wanapo kulisha sumu kiulaini, bila maswali wala maelezo yoyote yale, we unabwia tu! sasa kama sio mapepe ni nini? hata mtetezi wako MALCOM LUMUMBA nafikiri utakuwa unampa wakati mgumu sana wa kukudefend kila siku
 
Hivi wewe nani alikupa kazi ya kutetea serikali ya Rwanda humu. Unanilazimisha nikuelewe kwa uwongo wako unaoeneza humu JF? Nyinyi nani asiye wajua? Naona unapata shida sana lakini ndio hivyo hakuna jinsi. Vumilia tu, mwisho wa siku utazoea.
Sio mwisho wa siku atazoea,inatakiwa aache kueneza uongo popote pale. Awe anasema ukweli tu sio kudanganya watu.
 
Hivi wewe nani alikupa kazi ya kutetea serikali ya Rwanda humu. Unanilazimisha nikuelewe kwa uwongo wako unaoeneza humu JF? Nyinyi nani asiye wajua? Naona unapata shida sana lakini ndio hivyo hakuna jinsi. Vumilia tu, mwisho wa siku utazoea.
unaona sasa? we ni MAPEPE 1st class! hii mada ni kuhusu Burundi... Rwanda inaingiaje labda tuanzie hapo!
 
thank you very very much Madam Victoire STAGE number five(5)... DEHUMANISATION ... you guys have got to admit! Genocide is in the making in Burundi... especially when such thing comes from a senior leader "TAPELI" vyuma
Ndio maana ni rahisi sana kukujua kuwa wewe ni mtutsi wa Dar, maana mtutsi halisi bila kujali anakotoka anajua kuwa hakuna tofauti ya majina ya kitutsi wala kihutu, wote mnazungumza lugha moja. Hakuna majina ya kitutsi wala kihutu. Hivyo unachekesha pale unapotukana majina ya watu kwa vile tu ni wahutu pasipo kujua kuwa majina hayo hayo pia ni ya kitutsi! Ukikuta mtutsi anaitwa nyamitwe, Nkurunzinza etc, bado utasema maana yake ni hiyo?
Haya basi nikujulishe kuwa mtoto wa Kagame, Ange kagame, jina lake kamili ni Ange Ingabire kagame, sasa tufafanulie maana ya Ingabire kwa vile ni jina la mhutu Victoire usiyempenda!
cc: vyuma Victoire
 
Usiku wangu umekuwa mwema sana kwa comment hii.! Thank you very much.
 
OMG! ndio maana chuki imewamaliza! hebu niambie, kusoma na kuelewa isha kuwa tabu? majina ya kihutu na kitutsi umeyatowa wapi? na bado utachanganyikiwa wewe! naona unataka kuzuga wana JF! acha kujifanyisha NYAMITWE sio kihutu au kitutsi we kanjanja! na ninarudia tena na kama unavyojuwa kwa kinyarwanda tunasema... so akwanze akwita nabi! kwa wasioelewa, eti Baba yako akikuchukia anakubatiza jina bovu... hayo ndio yaliyomtokea mueneza ukabila NYAMITWE/TAPELI haya tupe tafsiri yako... na huyo dada yako INGABIRE baba yake hakumstukia utotoni lasivyo angempa MUKANTAMBARA... get a life!
 
Yaleyale tu, umeambiwa, tafsiri jina INGABIRE kwa kiswahili,unakimbiakimbia tu kama mchicha.
 
bahati nzuri una kawaida ya kujichanganya na kuishia kuthibitisha nilichosema. Asante maana kila mtu anaona jinsi ulivyo na chuki.
 
bahati nzuri una kawaida ya kujichanganya na kuishia kuthibitisha nilichosema. Asante maana kila mtu anaona jinsi ulivyo na chuki.
acha kuzuga! unachokisema ni nini? hauna lolote! upende usipende hizo akili zenu za kuchukia kwenu eti kwa sababu nchi inaongozwa na RPF zitawafanya mfie hukohuko na michuki yenu ya bila mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…