Kwenye simu yangu ya nokia ..tokea jana kila nikipiga simu inaandika ..note:you have active diverts..sasa sijui imetokana na nini halafu hata na wenzangu hapa wamepata hilo tatizo.Je kuna namna ya kuliondoa.
Tokea juzi simu yangu ya nokia kila nikipiga inaandika NOTE:YOU HAVE ACTIVE DIVERTS..wakti sijawahi kui divertr,,nimejaribu kui cancel lakini haitoki nimepiga customer care wakasema haina tatizo..ndo simu za nokia zilivyo..nikamwambia kua nina nokia mda mrefu na cjawahi kuiona ikitokea akasema hajui..vp wadau ni mtandao au ni nini hasa.
bonyeza ##002# halafu ok
bonyeza ##002# halafu ok
yaah hata mimi nina da same problemmkuu asante kwa maelezo yako, ila bado kuna tatizo.
Nikisha bonyeza ok (kwangu ok haionekani ila nabonyeza sehemu ya kupiga simu) kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu inaniambia divert cancelled. Ila nikipiga namba ya mtu yoyote bado inaniandikia ujumbe ule ule "note: Active incoming calls diverts" nifanyeje sasa ili kuondoa tatizo hili kabisa.
yaah hata mimi nina da same problem