Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,671
- 40,911
Kama kawaida yangu jana niliendelea kuisikuiliza hii redio, especially kipindi cha huyu dada..kwa bahati nzuri akafanya marudio ya mahojiano yake na Bw John Mnyika, kwanza alianza kwa kumsifia kua ni kati ya wabunge very social..kitu ambacho hakikuendana na interview yenyewe ambayo kwa kiasi kikubwa ililenga kumharibia image huyu bwana..hii ni kwa kitendo cha kurusha live mazungumzo ambayo hayakurekodiwa bila idhini...nasema hivi baada ya jana kuona tweet yake ya malalamiko kwa bw Zito kuwa ni baadhi ya wabunge selfish kwani hataki kujibu tweets ama inbox za watu ambao si maarufu kama yeye...Huyu binti ana nia gani na hawa jamaa..au viongozi wa upinzani...katumwa?? anataka kuingia kwenye siasa??? Tumuepuke huyu binti...kwa kukataa mahojianao nae..analake jambo si bure katumwa....