We mama usifananishe efm na vitu vya kipumbavu.umeanza vizur lakin umemalia kwa unaz we shabik wa efm imekila kwako
CC. TCRA
usha paniki ee kuambiwa ukweli fuata dhamila sio kelele kijana kua basWe mama usifananishe efm na vitu vya kipumbavu.
Diva ze bosi wa clouds nimekuwa nikimsikia akianzisha mada bila kubadili wala kutaja JF kama ndio source.
Mdada huyu mwenye sauti ya kifekero hukopi na story za humu MMU kama mmenotice.
Nimeamini mawingu yanazidi kushuka.Hawana ubunifu au laana za ndi ndi ndi?
JF inafanya nini kukabiliana na piracy hii?
Hilo la kuwa na ID tofauti linawezekana pia.Hapana labda Kama anaingia kwa ID tofauti tofauti Jf.Nimefuatilia Na Hilo.
Hilo la kuwa na ID tofauti linawezekana pia.
Lkn hata kama kaibeba mada toka humu nadhani tulipongeze jukwaa kwa kuaminika na kugeuka kuwa sehemu ya rejea
Hata mimi nimeshamshisi mara nyingi tuuDiva ze bosi wa clouds nimekuwa nikimsikia akianzisha mada bila kubadili wala kutaja JF kama ndio source.
Mdada huyu mwenye sauti ya kifekero hukopi na story za humu MMU kama mmenotice.
Nimeamini mawingu yanazidi kushuka.Hawana ubunifu siku hizi.Labda Kama anaingia Na ID tofauti Na akitoa mada Na stories humu Na kuziamishia clouds fm.Ila Nina uhakika anatoa humu.
JF inafanya nini kukabiliana na piracy hii?
Wee...kamwe hawezi kutajaMimi nadhani tungejuvunia swala hili badala ya kulalamika, kama imefika mahaali MMu tunaaminika na kukubalika kama source ya mijadala mizuri ya kimaisha then this is good for us. Cha msing lazima azingatie copyright atleast ataje chanzo cha habari/taarifa yake
Kwa nini hawezi kutaja?? Anapatia maujuzi huku kwanini asi appreciate??Wee...kamwe hawezi kutaja
Na hii ndio sifa pekee ya hili jukwaa!! Ndio maana ni jukwaa pendwa.tatizo la jf ni fake ids..........