Diva the boss wa Clouds, mahusiano yamemtesa sana

Smiling killer

JF-Expert Member
May 1, 2018
1,291
1,121
Huyu Dada maarufu,mtangazaji wa kipindi cha redio clouds media kilichojikita kwenye mambo ya mahusiano inavyoonyesha mahusiano yamemtesa sana mpaka ukimsikiliza kwa umakini anawachukia sana wanaume mpaka anafikia kukiri kwamba yeye siyo muumini wa mambo ya kuoana,lakini ukijaribu kumsikiliza mazungumzo yake kuhusu mahusiano na aina ya maisha anayopenda kuishi plus wanaume anaopenda kuwa nao na jinsi relations zinavyopaswa ziwe unagundua kwamba anafananisha sana maisha halisi na tamthilia za kimapenzi za America kusini,akiangalia zile tamthilia anatamani apate mwanaume waishi kama vile,wale wanaigiza my sister ukiendelea kutaka relations kama zile wanaume watakutenda mpaka basi!..na wanaume wanajua sana kuchagua wanawake wa kuishi nao wakiona mwanamke wa staili za tamthilia wanajua atamsumbua mbele wanapiga mzigo wanasepa!!..sasa vichekesho yule doctor anayemualika kwenye kipindi chake kwa ajili ya maswali na ushauri,huyo doctor ni staili ya wale wanaume wanaojidai wanajua sana Ku wa care wanawake zile design za dear,baby n.k anaonekana anamuogopa diva so kila swali analoulizwa anajitahidi ajibu vile diva anavyotaka hasa Yale maswali yanayoleta utata wa nani mwenyewe yupo right kati ya me au ke lazima ajibu upande wa kwamba wanaume wanakosea sijui mwanamke unatakiwa um treat hivi siyo vile!..anyway mitazamo tofauti wanaweza wao ndo wako right
 
Hakuna mwanamke hatar kama anayependa kuangalia movie,jaribu kuchunguza! Wanapenda drama hatar,ndio hawa wa akina Miss nimeumizwa Mimi wakati kiuhalisia hajawahi hata kuumizwa
 
Back
Top Bottom