sina uhakika,ajaribu Education Udom,Saut Mtwara!,cutoff point zao sio kali kali sana!
Jamani vyuo vinahitaji angalau 4.5 si 3.5 unless mtu aweke ushahidi kuonyesha mahitaji yamebadilika. Kwahiyo E, E na S ni 2.5 na point huhesabiwa A=5, B=4, C=3, D=2, E=1 na S=0.5. Kwahiyo ni atleast two principal passes with 4.5 in total. (hizi ndio minimum entry qualification)
sheria ya vyuo angalau apate EES ndo naweza kujiunga na vyuo vikuu
wanaJF nina ndugu yangu kamaliza form 6 HKL na kapata div 3.16(yaan ana SSD),je kuna uwezekano wa kupata chuo cha serikali? Na koz ipi itakuwa rahisi kudahiliwa? Vp kuhusu TUMAINI na SAUT atapata?