dogo kuhusu ajira za hizo course ni bilabila hakuna kitu,sema kama unataka kufulfill dreamz zako we soma tu ila nafasi za tele ndo zimekwisha kabisa,na kuhusu ajira za comp eng lazima uwe na certification kama Cisco na CCNA,bila hizi bench linakusubir kitaa labda ujiajiri.
thanx!
Umesoma dit?
ua ryt kaka bt kumbuka dit ni kama college,i mean unaweza ukalinganisha na coet udsm na wanatoa koz za uhandisi wote bt ukitaka kuongelea udsm huwez linganisha na dit..udsm ni chuo cha 15 africa na 1032 dunia bt dit haimo kabisa!
Interest yang ni ktk koz za uhandis nchni c udsm kama udsm datz y nkamention coet tu!
wapi ni pazuri kwa kusomea na usanifu katika kozi za uhandisi(Engineering)?
I mean mwanafunz akitoka anakuwa compitent!
Mostly kwa kozi za COMPUTER ENG and ELECTRONICS & TELECOM ENG for dit and COMP N IT ENG & TELECOM ENG for udsm,coet?
acha kukishusha DIT wewe,sababu ya udsm kuwa kwenye hiyo nafasi ingawa si za kweli kwa upande wa kidunia ni lugha ya kiswahili kwa kutoa machapisho mengi ila dit kwa upande wa uhandisi Tanzania kiko juu source barrick,geita na north mara mining companies.
asante sana kaka!muomba ushauri unajua tofauti ya BSC NA BENG ..?
WAULIZE NI MALECTURER GANI WANAFUNDISHA PART TIME KATI YA UD NA DIT . MAANA NI NINAVYOFAHAMU MIMI MY LECTURER WENGI WALIKUWA WANAENDA KUFUNDISHA DIT PART TIME.
UNAFAHAMU MAANA YA ELECTRONICS AND TELECOMS ENG . NA TELECOMS ENG. USIANGALIE USHABIKI JUA CONTENT YA KOZI . UNAFAHAMU BENG HAPO DIT WAMEANZA KUTOA LINI NA KWANINI?
UNAFAHAMU MADHUMUNI YA KUANZISHWA KWA VYUO KAMA HIYO DIT , MIST NA ATC...?
SASA NIKIJA KWENYE SUALA LAKO LA HIYO KOZI MIMI NIMESOMA MLIMANI UMEME, ELECTRONICS, COMMUNICATIONS, SOFTWARE, IT AND COMPUTER ENGINEERING FIELD INAKUWA KWA KASI SANA KUTOKANA MABADILIKO YA KITEKNOLOJIA. SASA TENA MITAALA YA VYUO VYETU VINGI HAIENDI NA WAKATI HASA KWA KOZI HIZI NILIZOTAJA . CHA MSINGI ANGALIA BACKGROUND YAKO KAMA UMETOKA HIVI VYUO VYA UFUNDI BORA UENDELE NAVYO NA KAMA UMETOKA A LEVEL PITA MFUMO HUU WA UNIVERSITY MAANA NDIO UNAWEZA KUCORP NAO, PIA ITATEGEMEA NA MADHUMUNI YAKO UNATAKA KUWA NANI MBELE YA SAFARI NA UTAKA NINI?
HIVI MTU ANAYEFANYA BENG YA EVENING HAPO DIT UNAWEZA MFANANISHA NA MTU WA MLIMANI KWELI ?
TELECOMS INDUSTRY KIBONGO INAONEKANA IMESATURATE SASA JIPANGE..
asante sana kaka!
Umenifumbua sana kichwa!
Me nasoma telecom nta5 atc na napenda kuunganisha either comp eng o telecom eng!
Nlishauriwa ud pazur bt mawazo yng yalikuwa dit!
4hw umenipanua kchwa i wil work on t!
God blec u!
d.i.t. Kaka,trust me,ud ni jina tu,may b law wanatoa wa2 cmptent bt not eng.
mdogo wangu hata kama umetoka Atc na unapendelea kwenda Udsm ni vizuri sana haina ulazima sana kuendelea na dit or mist, kuna jamaa wawili walitoka Atc nili graduate now electro-mechanical engineering pale Coet japo walisoma electrical(atc) na ufaulu wao ulikua mzuri sana(GPA) kutuzidi sisi fresh from form six, mlimani utajifunza mengi zaidi na zaidi.
kwa hyo koz gan ni nzur kwa eng?
Dogo nenda DIT,coet hamna kitu.
Dogo nenda DIT,coet hamna kitu.
nani anampotosha mwenzake kati yako na huyo jamaa .acha kumdanganya dogo pale hizo gpa ni kwa sababu mnameza sana ila technical fitness hamna kitu kabisa..kuna jamaa sec year kapata gpa 4.9 computer eng ila hata kuformat computer hajui kabisa mda mwingi watoto wa coict utawakuta facebook na kusoma ila mfumo wao mbovu,dogo uamuzi ni wako maisha ni yako fanya uamuzi sahihi.
thanx kaka,hop upo ud!
telecom nlickia wanataka kureduce miaka toka 4 kuwa 3yr program,ya kwel hayo kaka?
sorry for late reply but kiajira competence na knowledge wewe unaonaje?DIT ni more marketable than UDSM hata kwenye IPT tulikuwa juu zaidi kuhusu electronics wako fiti coz ni moja kati ya fani za zamani.yeah,i read about it in dit web page kuwa kuna hadi fibre optic!
But kaka,vp kuhusu vifaa katika course za telecom na comp?vpo vya kutosha?
Je wanafunzi wakitoka hapo kiajira ni vipi?i mean kuingia katika compttn na waliotoka othr instt!
Wanapromotion kwa wanaofanya vizur?
Dogo hata mie nakushauri nenda DIT tu UDSM ilikw enzi hizo tunaiita FOE wakaanza ichakachua na alipoingia Mukandara ndo kaiua kabisa walimu wengi compitent wameondoka.Dogo nenda DIT,coet hamna kitu.
muomba ushauri unajua tofauti ya BSC NA BENG ..?
WAULIZE NI MALECTURER GANI WANAFUNDISHA PART TIME KATI YA UD NA DIT . MAANA NI NINAVYOFAHAMU MIMI MY LECTURER WENGI WALIKUWA WANAENDA KUFUNDISHA DIT PART TIME.
UNAFAHAMU MAANA YA ELECTRONICS AND TELECOMS ENG . NA TELECOMS ENG. USIANGALIE USHABIKI JUA CONTENT YA KOZI . UNAFAHAMU BENG HAPO DIT WAMEANZA KUTOA LINI NA KWANINI?
UNAFAHAMU MADHUMUNI YA KUANZISHWA KWA VYUO KAMA HIYO DIT , MIST NA ATC...?
SASA NIKIJA KWENYE SUALA LAKO LA HIYO KOZI MIMI NIMESOMA MLIMANI UMEME, ELECTRONICS, COMMUNICATIONS, SOFTWARE, IT AND COMPUTER ENGINEERING FIELD INAKUWA KWA KASI SANA KUTOKANA MABADILIKO YA KITEKNOLOJIA. SASA TENA MITAALA YA VYUO VYETU VINGI HAIENDI NA WAKATI HASA KWA KOZI HIZI NILIZOTAJA . CHA MSINGI ANGALIA BACKGROUND YAKO KAMA UMETOKA HIVI VYUO VYA UFUNDI BORA UENDELE NAVYO NA KAMA UMETOKA A LEVEL PITA MFUMO HUU WA UNIVERSITY MAANA NDIO UNAWEZA KUCORP NAO, PIA ITATEGEMEA NA MADHUMUNI YAKO UNATAKA KUWA NANI MBELE YA SAFARI NA UTAKA NINI?
HIVI MTU ANAYEFANYA BENG YA EVENING HAPO DIT UNAWEZA MFANANISHA NA MTU WA MLIMANI KWELI ?
TELECOMS INDUSTRY KIBONGO INAONEKANA IMESATURATE SASA JIPANGE..
Hapa kama kuna longolongo nyingi. DIT na UD zilianzishwa zikiwa na malengo yake. Sasa naona kama kuna watu wanafikiri wale wahandisi wa UD kazi yao i kufanya trouble shooting ya bajaji mitaani. Kweli hakuna jinsi ya kuwasaidia watu hao....wakae hivyo hivyoua ryt kaka!
But kama ua brain work properly n upo sehemu properly u wil mst prply!