DIT selections zimetoka?

DIT selections zimetoka?

Feiaidan

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
237
Reaction score
130
Habari wandugu!

Naulizia kama selections za Bachelor pale DIT kwa mwaka huu zimeshatoka.
Kwenye website yao hakuna, ila naona kuna watu wana info tayari.
Mtu yeyote mwenye info juu ya selection ya DIT mwaka huu ni-update as soon as possible!

MY REGARDS!
 
Kuanzia tarehe 5 yatakapo anza kutoka ya diploma holders, ndipo Dit watatoa yote kwa pamoja.
 
Mkuu sidhani kama kuna info yeyote naona fees structure na academic calendar tuu kwenye website yao, watawezaje kutoa wakati bado nacte wapo kimya????
 
Habari wandugu!

Naulizia kama selections za Bachelor pale DIT kwa mwaka huu zimeshatoka.
Kwenye website yao hakuna, ila naona kuna watu wana info tayari.
Mtu yeyote mwenye info juu ya selection ya DIT mwaka huu ni-update as soon as possible!

MY REGARDS!
Hapo mpaka mwezi wa kumi mwishoni au 11 mwanzoni hao ndio walivyooo
 
DIT tayari wameshatoa.
Pita kule angalia Jina lako!
 
Angalieni majina ya wadogo zenu pale DIT, wameshatoa tayari.

Muwe na wakati mwema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom