DIT NI JIPU KATIKA SWALA LA UTOAJI WA VYETI.

DIT NI JIPU KATIKA SWALA LA UTOAJI WA VYETI.

Joined
Sep 14, 2016
Posts
18
Reaction score
6
Ni miaka miwili imepita tangu nimalize masomo yangu hapo dit shahada ya uhandisi umeme.Tatizo ni kwamba kumekuwa na ucheleweshwaji wa utoji wa vyeti kwa wahitimu.Huwa najiuliza hivi hawa viongozi wa board ni vipofu? Au majukumu yao hawayajui? Mnatuboa sana!!.
 
Back
Top Bottom