mwemezi Idrisa
Member
- Sep 12, 2016
- 89
- 59
Hata bukoba kuna vyuo vizuri unaweza kupekwa huko ukasome
Niko chuo kikuu tayariSema ili usaidiwe
vipi wewe ulisoma au unasoma bukoba?Hata bukoba kuna vyuo vizuri unaweza kupekwa huko ukasome
hahahahahahaha eti cha uchochoroni hata nikikutajia haitakusaidiaChuo gani hicho usichokitaja vicje kuwa vya uchochoroni ukimaliza hutambuliki na serikali
hongeraAbroad
sihitaji hiyo offer kwa nilipo napokea asilimia 92% asanteTuma majina yako kamili halafu unambie unasoma nini na mwaka wa ngapi upate mkopo asilimia mia
Duuuuhhh sawa sawa!!!Mi sasa hivi namsomesha boy wangu akimaliza tunafunga ndoa
Hongera na soma kwa bidii ili uweze kufanikiwa ktk maisha yako
Hahahaha...hongera mkuu!!!Na chuo unachosoma
Tuma majina yako kamili halafu unambie unasoma nini na mwaka wa ngapi upate mkopo asilimia mia
DIT cyo university ila ni institute(taasisi)Udsm..is university...dit..is university colledge..see the difference
Kumbe na JF kuna washam.Hata bukoba kuna vyuo vizuri unaweza kupekwa huko ukasome