Disturbing pictures

Hiyo ndiyo wazungu wanapenda kuona kuhusu afrika.Lakini yamesababishwa na makanjanja wa kisiasa wanaojiita viongozi.
Tatizo ni Afrika nzima
 
farkhina, hicho ni kitu unachopaswa kuwafundisha na wanao pia. Ni marufuku kubakisha hata punje moja ya mchele kwenye sahani (im exaggerating hehehe). Yaani na ukiacha chakula kikaharibika inabidi utubu Mola akusamehe! Na wakati wanachagua chakula na kusema sitaki maharage waambie kuna watoto somalia wanautamani uji wa chumvi usio hata na siagi wala maziwa na hawajui watauona lini!
Weye umeongea point hivi nakula nimebakiza nataka kumwaga wallah ntajilazimisha nkimalize...god bless u

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:


Heeee nani katumia ID ya King'asti leo? ???!!!!
Aseee kapiga mapwenti mbaya kabisa, natamani na dadangu mwenye ID hii angekuwa kama huyu alohak!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hahaha, kaka, im a very good gal. Tena bonge la dream wife (wacha nijifyagilie banaa). sema tu bhange hizi kuna saa tembo analitia maji ku-dilute!:brushteeth:
Heeee nani katumia ID ya King'asti leo? ???!!!!
Aseee kapiga mapwenti mbaya kabisa, natamani na dadangu mwenye ID hii angekuwa kama huyu alohak!!!!!!
 
Weye umeongea point hivi nakula nimebakiza nataka kumwaga wallah ntajilazimisha nkimalize...god bless u

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Safi kabisa kwa kufuata ushauri mzuri.
 
hahaha, kaka, im a very good gal. Tena bonge la dream wife (wacha nijifyagilie banaa). sema tu bhange hizi kuna saa tembo analitia maji ku-dilute!:brushteeth:
Ha ha haaaaaa najua sana ila siri ya moyo mie usijekimbia bila ya nanii kwa masifa!!!!!
Bila ya hiyo akili haitulii mahala pake ati maana ni kama kuna mtu anakanyagia mafuta bila idhini!!!!!!
 
Duh, huyo anahitaji mlo kamili miezi 6 arudi kwenye afya yake ya kawaida
 

Feel my pain, but don't feel sorry for me Cuz there some kids in Somalia with nothing to eat - Young Buck


Mkuu maneno yako ni kweli tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…