Nchi ya mazombie hii! Haya ndo madhara ya kutumia wengine kukusomea, yaani bila kutengeneza kijiji hili zoba haliwezi kufanya mtihani. kwanza linasema disseration sijui ndo kitu gani hicho?
Ni kwamba huyu amejitokeza ila wengi hawajitokezi na wanaandikiwa sana hizo kitu. Wameshaona hakuna haja ya kuumiza kichwa. Na watu wa namna hiyo ndio unawakuta wana ajira kabla hata iyo disseration (Dissertation) haijaisha. Wewe unayehangaika kukusanya data na maakili yako unaishia kuzunguka na bahasha miaka nenda miaka rudi.